Ndugu habari,
Hivi ni nini kifanyike kwa wale wotee wenye tabia ya ku hack account za watu?
Unakuta mtu ana acount yake kapambana sana kupata follwers wake lakini li mtu linakuna from nowhere anaimiliki acount yako?
Naomba msaada hapa wakuu maana na mm pia ni mhanga wa hili janga acount 3 kwa...
Serikali lazima pia iamue kuweka utaratibu wa kikazi za kiofisi na sio mitandaoni kwa sababu huko kuna account feki nyingi mnoooo......las hivyo.....Mmmmhhh
Nimefel kujua kiukweli maana hata maneno ya Idris ukiyafuatilia hayana ukali wowote wala matusi,wala uchochezi yaaani ilikuwa ni full furaha kum wish Mh Rais siku yake ya kuzaliwa
Ila naombeni viongozi wetu msifanye kazi ili kupata sifa kwa Mkuu wa Nchi kumbukeni Uongozi pia una msimu huwezi...
Jamani naomba kufahamu kiundani zaidi alichokifanya mchekeshaji Idris Sultan siku ya kukumbukwa kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Magufuli John Pombe Joseph....Maana wamebaki watu midomo wazi na kukosa majibu sahihi kuhusu tukio hili
Naomba majibu yenye tija
Kwanza hizo copy ni lazima zifanane kuanzia maandishi mpaka nukta pia kuwepo na sahihi zenu na majina yenu na mlichoandika kiwe kinaeleweka na mwisho kama walikuwepo mashahidi yawepo majina yao na sahihi zao pia kama wapo hivyo tu na ww uwe na uhakika kweli kama ulimuazima hela!
Jamani mbona sielewi,mara amejiua kwa kukosa mkopo bodi ya mikopo maana hana wazazi.Mara alichukuliwa na wazazi wake baada matibabu aliyopata kutoka chuoni....
Kipi sahihi...ana wazazi au hana wazazi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.