Recent content by tiggacute

  1. T

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Chato primary school Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Sasa makonda mbona amekuwa changamoto.ktk nchi...? Anaingilia mambo ya watumishi yasiyomuhusu,kwan hana mipaka ya kaz yake jaman? Haya mambo ya utumishi ni ya angela kairuki na wenzake..sasa yy povu linamtoka kivipi....? acha hzo makonda, unakera sasa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

    Huyu jamaa tunasal nae kanisan...kwao yy ndio mfupi
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwe na kitambi baada ya kujifungua na wakaka kwanini uharibu muonekano?

    Haya sasa dawa ya kuondoa tumbo na michirizi kwa wadada na wakaka ipo mjini sasa. Ni dawa ya asili isiyo na madhara kabisa. Utapunguza tumbo ndani ya wiki tatu...tumbo lisipoisha narudisha pesa.... Kwa wanawake wajawazito pia ipo dawa ya kuzuia michirizi kipindi utakapo jifungua..hii ni ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tuliokanwa na Katibu Mkuu tuungane twende kwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Kijan ni shaichana kitambo mkuu..watu wanapotea wakat wa kwenda tu..wakat wa kurud hawapotei tena..i swear to God..ctarudia tena kuistawisha kijan isiyo na matunda
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tuliokanwa na Katibu Mkuu tuungane twende kwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Hv ww umetumwa au vp. Maana sikuelew,watu tupo nyumban mwez wa tano sasa hatujui nn hatma yetu ww unaleta siasa hapa...mm pia ni muumin mzur tu wa rangi ya kijan lkn linapokuja suala hili ni lzm tuwe wakwel. Na imeniathir mm na familia kiujumla sababu nategemewa kwa asilimia 99. Acha kabisa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tuliokanwa na Katibu Mkuu tuungane twende kwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Kama vp tupange tunafanya nn ili tuende kwa katibu mkuu kiongozi atuambie nini cha kufanya Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tuliokanwa na Katibu Mkuu tuungane twende kwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Acha uongo..mahakaman bado hatujaitwa Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tuliokanwa na Katibu Mkuu tuungane twende kwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Habari zenu wakuu poleni kwa matatizo yaliyotukuta. Mimi binafsi nimepata wazo moja. Kama katibu mkuu amesema hatutambui basi twendeni kwa ktb mkuu kiongozi na tualike na waandishi wa habar...Na kama atatuambia ajira zimefutwa basi iwekwe kimaandishi Huo ni mtazamo tu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Napenda haya majina

    Sizonje
  11. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ajali yaua watu zaidi ya 15 baada ya Noah kugongana na lori huko Tinde

    Navyojua mm noah inapakia watu kumi kwa kujibana hao ni pamoja na driver..hao kumi na tano walikaa wapi?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia tu

    Ili iweje sasa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi unganeni Tanzania nzima mfanye mgomo

    Uchochezi
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haniulizi kwa lolote

    Mchunguze vzur huyo dada..anatabia za kimabumbusho
Back
Top Bottom