Recent content by Tigga

  1. Tigga

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo

    baskeli
  2. Tigga

    JamiiForums Tanzania Ishawahi kukukuta hii?

    Hahahahahahahaaa..Duh kwani ww umepaonaje?
  3. Tigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania All about love...,game tamu huchukua dakika tatu hadi 13 tu..,,,

    Ntakupata wapi mkuu???
  4. Tigga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa lugha sahihi

    Duh! Nimekosea njia..
  5. Tigga

    JamiiForums Tanzania Yuda Exkariote anajadiliwa muda huu ndani ya radio Sauti Ya Amerika,

    Una akili sn sijui ni kwanini tu hujawa "Rais" wetu??
  6. Tigga

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kanisani balaaa...

    wewe dini ya kweli unaijua??
  7. Tigga

    JamiiForums Tanzania Kikwete, Je hawa ndiyo majangili?

    Wewe ndiye "GREAT THINKER" wa ukweli..hapa hatutakiwi kujadili vyama
  8. Tigga

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio mizigo na vizigo nchini Tz.

    wee umeona kuna "juma na roza hapa" eh?
  9. Tigga

    JamiiForums Tanzania hadithi ya kichina iliyosikitisha!!

    niko hoi..mbavu sina
  10. Tigga

    JamiiForums Tanzania Chezea mpare weye!!

    Itakuchekesha vp nawe huelewi? Ungekuwa mpare ungecheka..wenzio hatuna mbavu huku
  11. Tigga

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri kwenda kwenye msiba. Je ni busara kufanya safari mbili kwa tukio moja?.

    Hawawezi lalamika coz akili zao ni fupi km pua zao..sasa walitaka Rais wetu akae siku zote hizo huko south Africa kwa gharama zipi? au wanadhani kukaa kule ni bure labda km mazishi ya kwetu uswazi waombolezaji wote mnalala chini na kula kande na ubwabwa?? Mijitu mingine humu JF sio Great...
  12. Tigga

    JamiiForums Tanzania Nini Ambacho Familia ya Mandela Imeficha Ulimwengu Katika Hatua ya Mwisho ya Mazishi

    Wewe vipi? Kwani wakati anatoka udongoni (wakati anazaliwa) kulikuwa na nyomi? Mbona unajifanya hueleeewi??
  13. Tigga

    JamiiForums Tanzania Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

    Nyote mliomponda salama mmejichunguza kasoro zenu?? Tupa kule "Mbululazzzzz"
  14. Tigga

    JamiiForums Tanzania Na alaniwe kila atoae mimba isemwe ameen.

    Sie wanadamu tuko tofauti sn..Mungu atuhurumie sn wandugu. Wote tuliochangia uzi huu tumekazania "alaaniwe, alaaniwe" Mbona tunahukumu dhambi ya uuaji tu hapo vipi kuhusu dhambi ya uzinzi ambayo asilimia kubwa tunaitenda kila siku iwe kwa kuwaza, kunena au kutenda? Tukumbuke aliyeamrisha "USIUE"...
Back
Top Bottom