Recent content by tiffanykinondoni

  1. T

    JamiiForums Tanzania Current four star Generals in Tanzania

    Hoja yako ni ipi hasa? Kwani hakuna nchi ambazo si shirikisho zenye Active Uniformed 4 Star General zaidi ya mmoja?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Current four star Generals in Tanzania

    Inawezekana hajui, ila ameweka hisia na nadharia zake.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Current four star Generals in Tanzania

    Kwa US kwa sasa kuna Magenerali wa Nyota Nne kwa idadi ya 45 ambao wapo kazini. 18 wakiwa katika Jeshi - Army 3 Marine Corps 9 wapo Navy, 11 kwenye Jeshi la Anga - Air Force 2 kwenye Space Force 2 kwenye Coast Guard Kwa Ukubwa wa Jeshi la Marekani na kwa vitengo vyao vinavyofikia 8 ni Wazi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jioni ya leo imekuwa ngumu sana kununua Umeme kupitia mitandao ya simu. Swali kwa TANESCO Je tatizo lile la wiki iliyopita limerudi tena?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mke kwaajili ya staff mwenzangu

    Mbona hasira sana? Umekula usiku? Haya choma dawa ya mbu ulale imbecile. [emoji28]
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mke kwaajili ya staff mwenzangu

    Wasalaam, Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani. Sifa za mtafuta mke 1. Miaka 35 2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni 3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    kila la heri[emoji7]
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Kaizer Vs Simba Sc kuchezwa bila mashabiki

    TBC tena[emoji1787][emoji1787]
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwenye mtandao ambao tunataka anonymity bado kuna mtu mzima anatafuta ukweli wa mtu kwenye profile [emoji23][emoji23] You are hopeless kama ni baba au mume wa mtu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna kaka alinila kimasihara kipindi hicho nasoma MUHAS lakini makazi Upanga kule Mtaa wa Ali Khan. Siku moja Jumamosi kijana mmoja Classmate alikuja kunitembelea, sasa wakati namsindikiza nikapishana na kaka mmoja kwenye ngazi huyu tulikuwa tunaishi kwenye nyumba moja. Kama kawaida nikamsalimia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Kama ni mfuatiliaji mzuri wa masuala haya, ni wazi kuwa mkulima amepewa chake.....
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna watu hapa wamenivutia na mimi ku-share hii stori, kwa kuwa nimepata ruhusa ya aliyenila naona si vibaya ku-share nanyi. Miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza masomo hapo Chuo cha Afya Muhimbili (Wakati huo kilikuwa chini ya University of Dar es Salaam), nilipata nafasi ya kufanya internship...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vijana pambaneni ndani ya CCM mtakuwa na future nzuri kisiasa na kiuchumi

    Jambo baya zaidi kuhusu njaa sio hofu ya kifo, ni tumbo kuchukua kazi ya ubongo (kufikiri na kufanya maamuzi) "....Empty stomach is not a good political adviser... "
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kudanganywa umri na mpenzi wako?

    Hii script unauza Bongo Movie. Iboreshe
Back
Top Bottom