Imefika hatua nakula msosi mmoja kwa siku.
Then nimuombee kwa lipi aisee.
Mi hamna we Omba mwenyewe lbd baba yako kaishapewa ka uteuzi wenzio sie tulitumbuliwa.
Hilo suala hata mie nimemuuliza jamaa zangu wote blaa blaa!!!
Na kwanza nasikia jamaa wenyewe waishakataa kulipa kwamjibu wa vyombo vya hbr kenya.
Kama ni sie tunalipa ni bora tuwaachie tu maana tutazidi kupigwa tu hasara bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu yawezekana kweli ana nia njema lkn ukiwaza sana kwa jamii zetu mtu wa hvy hajawai tokea labda kwa asilimia chache sana.
Mara kwa mara wanafurahia ila wanakaaga kimiya wala haeleweki.
Sasa la kufanya we mpotezee wala namawasiliano na uyo wife nayo potezea na kaa kimiya ukajipigie...
Tatizo la sisi watanzania tunapenda kuongelea wengine matatizo yao bila kujioji yako,bwana mkubwa kweli pale alijichanganya maana hili dogo alilotamka limemuondolea point na sifa alizopata mwanzo.
Bora hata awe anasoma tu hotuba zake anazoandaliwa kuliko kujitolea kichwani.atakuja inginza taifa...
Du hii sasa ni aibu kwa serikari,na taitizo ni kutotadhimini kbl, na ajabu ilivyo kwa nchi yetu bidhaa yyt ikipanda uwa haishuki kiharaka kama tunavyodhani.
Ndugu yangu tuishapewa referrel ya bugando na tume attendiwa na madakitari bingwa lakini bado tatizo ni lile jibu ni lile lile kuwa kama tatizo linajirudia mrudishe na siku zote tuanatumia gharama ndo maana naona bora tukatumia hizi za kiasili.
Jamani nani labda anajua tiba ya asili ya huu ugonjwa wa kuharisha maji mara kwa mara maana nina baba yangu ana miaka zaidi ya 80 ameanza sumbuliwa na ugonjwa tangu semptember 2015 mpaka leo tumeenda hospital nyingi lakini hamna manufaa yoyote,na mara ya mwisho dr akatwambia kuwa haona tatizo...
Du mi kwanza nilidhani atatumbuliwa jipu maana wakati anaamishiwa mza alijifanya Mungu mtu akawa haishi kwenye nyumba ya serikari ni chafu mpaka ilipofanyiwa ukarabati ndo akahamia, sasa ndo kahamishiwa Mkoa wa Mara ngoja tutasikia na uko. .
Mi nionavyo mie hukumu ya kifo iwe kwa namna fulani hv,ili mtuhumiwa ahisi uchungu kwa mfano leo tunato kidole kesho mdomo then pua mpaka mauti yanamfikia taratibu kinamna hiyo,Hata mwenye kusudio akihisi namna ya kufa kinamna hiyo hawezi tena kujaribu kutenda uovu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.