Recent content by tibihika

  1. T

    JamiiForums Tanzania Trafiki agongwa hapa taa za VETA

    mzee unatakiwa uwe makini na vitu unavyowajuza wenzio.mimi nipo ngara lakini habari sahii aaliyepata ajali ni askari wetu wa Jw.omba msamaha kwenye ukumbi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Plot inauzwa Vikindu

  3. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la meno kufa ganzi na chanzo chake

    Tumia sensodyne toothpaste apply 2 to 4 times daily.baada ya wiki utapata jibu. EPUKA kunywa vinywaji baridi.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Plot inauzwa Vikindu

    Ipo vikindu mto Myobozi. ukubwa sq m 4500, maji ya mto yapo majira yote.Bei 10 m Tshs. wanaohitaji 0763 23 30 30
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    umemsahau na Gibson Mwanamkiwa, kwa sasa ni watu wazima majukumu yamewakaba km karo n.k. zamani mara tu baada ya chai kalamu haibanduki mkononi hadi dinner wanaandika makadi tu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania ombi tafadhari, aliyepo u/taifa

    ombi kwenu wanajf, tafadhari aliyepo taifa tunaomba maendeleo/matokeo cc tuliopo pembezoni mwa tz, ahsante
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kila akitongozwa lazima aniambie

    is she still virgin ? if not tell us know wether you know her viginality otherwise let us stay calm .
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hii inatoa picha gani nje ya Taifa letu?

    Tusizungumze mengi. wote kwa pamoja wanatugombania kama mwanamke malaya.mabwana wote wanatutaka .jiulize wanataka nn kwetu wakati wanawake wenzetu wapo.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Na hamu yakungonolewa leo

    wengine hamjui kama mliumbwa,mtajuaje kwamba dhambi zipo?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda huyu kaka

    ww dada kwa post hii huna lolote na ukikaa vibaya hutaolewa.una muwako mkubwa wa tamaa ya mwili.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Scolari ameibadilisha brazil

    kwa taarifa yako hili kombe linabaki kwao ingawa bado wanaitaji kurekebisha defence.
  12. T

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya: RPC anatukandamiza sana CCM!

    kama ulikuwepo mzee.
  13. T

    JamiiForums Tanzania 2muone neymar leo!!

    Jem, ngoma inapigwa saa ngapi ya huku kwetu?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri mambo ya ndani:Mauaji yanayofanywa na police yanafanywa kisheria.

    siyo askari tu ila hata raia anaweza kuua .nenda kwa waasheria watakujuza ni mazingira gani askari/raia anaweza akaua na sheria ikajustfy mauaji hayo.si kila kitu unakuwa mbishi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Watu wabishi: Bado wanasubiri maisha bora

    kwani aliyehaidi alikuwa haoni umuhimu wa watu wake kufanya kazi ndo wawe na maisha bora?si angesisitiza hilo toka awali?.
Back
Top Bottom