sio kila akitongozwa
sema kila akitongozwa na asio wapenda
Duh! Kweli ina maana anapotongozwa na anaowapenda hasemi wala kuonyesha sms..
Jamani nina mchumba wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku hizi
Nakubaliana na wewe.
Akiavha kuwa anahadithia ujue kimeumana.
She is just an iinocent gal na hawezi kukuficha kitu. Wewe ndo ragiki yake na hata akipanga asiseme anajikuta anasema yu.
sio kila akitongozwa
sema kila akitongozwa na asio wapenda
Jamani nina mchumba
wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms
lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku
hizi
is she still virgin ? if not tell us know wether you know her viginality otherwise let us stay calm .Jamani nina mchumba
wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms
lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku
hizi
sio kila akitongozwa
sema kila akitongozwa na asio wapenda
anakupa presha huyo, na siku akikubali mwambie akwambie, inaonekana huyo km zake zimesoma sana sasa anataka uingie haraka haraka.
Jamani nina mchumba wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku hizi