Recent content by Tibet

  1. T

    Barua ya Waziri January Makamba kwa Askofu mkuu wa KKKT

    Kwani January kuwa Rais wa nchi 2025 kunatatizo lipi,nadhani chuki binafsi sana zenu,wewe ni mmoja au wawili watakaopiga kura kumkataa sio wote,haki kuwa na malengo Fulani katika maisha
  2. T

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Leo mafuta ya taa kwa sisi wavijijini hatuwezi kutumia tena,yamekuwa gali sana kushinda petrol na dizel inakuingia akili kweli
  3. T

    Tukio la kutisha Mwanza mjini, usiku wa manane

    Unajua ukitaka kujua mtu amevuta bangi dalili zako,akipita kwenye goli LA mpira anainama,anajihisi mrefu sana
  4. T

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Watamuona Mungu mkuu hao!?
  5. T

    Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

    Safari ndefu,ngumu sana ila Kiongozi wa Team seal six atafika
  6. T

    Mwanamke wa urafiki

    Jamani nakumbushia ombi langu
  7. T

    Korea Kaskazini yajiandaa kutupa Kombora lingine la masafa marefu siku yoyote kuanzia leo.

    Alafu wanaibuka watu wanasema wale jamaa maskini niambie umaskini wao uko wapi
  8. T

    Kwanini mchaga akiambiwa anatokea Kishumundu anang'aka?

    Hapa watu wanataka uelewa nasio kikimbia ukweli kuwa hoja lege lege wewe ulitaka alete za msoffe kuwa mrembo au
  9. T

    Kwanini mchaga akiambiwa anatokea Kishumundu anang'aka?

    Mimi mkibosho kbsaa wa Mango parish, kishumundu,kwa kikobosho sio jina zuri linaamaana Malaya nakadhalika,sasa sio kwamba waliopo wachagga wakishumundu ni masikini ila jina lao,mfano wachagga kama mboro,kimathi,na Mboya nikoo zenye mahusiano ambapo babu zao walikuwa ndugu ndio maana mboro wengi...
  10. T

    Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe

    Mimi. Mkiristo sio vema kumkwaza mwezako kiimani
  11. T

    Bosi wa mashuhushu wanaomlinda Obama alivyojiuzulu ni darasa kwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa

    TISS sio wezi kama chombo ila mfanyakazi kuwa mwizi ni tabia yake na mawazo yake
  12. T

    Bosi wa mashuhushu wanaomlinda Obama alivyojiuzulu ni darasa kwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa

    TISS nadhani wao hawana tatizo,tatizo sio Taasisi huru ingekuwa inajitegemea ingekuwa mbali,ingekuwa inawajibika kwa bunge ingekuwa safi sana,ila inawatendaji wengi wenye uwelidi mkubwa sana,ata hayo majipu yanayolipuka wao wanamchango mkubwa sana,nadhani kuu zaidi iwe huru kufanya mambo yake...
  13. T

    Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM afukuzwa bila sababu za msingi

    Ukimuona MTU jamii forum anakuambia anayefanya siasa chuoni ni mjinga basi tambua kuwa akupata elimu ya juu unapaswa kumsikitikia sana,viongozi wazuri katika mataifa yote duniani waliazia chuo kikuu,Mimi ni ccm damu ila siungi ushabiki wa mayai ya kwaree
Back
Top Bottom