yaani unaunga mkono kuhusu uhalifu kwanini hasa unajiona umenena maneno mazuri? au we bado mdogo au we ni mmojawapo wa watu wanaoharibu nchi hii kwa kushawishi umma? tafadhali kama huelewi jambo usilishabikie na utumie busara kusema maana ulimi huchochea nyuma yako kuna watu wanaoshabikia...
umetoa mada ya hamasa ila hujatolea mfano wapi ili tujua unachoongelea ni baadhi ya watanzaia walio wachache au walio wengi, ninachotaka kukuambia ni kuwa maarifa ya mtu yanapofikia kiwango hutumia maneno kama sisi watanzania ni watu wa ajabu sana au unasema mm ningeomba ujue kila mafanikio ni...
Wamesema anawaloga watoto ila hawajafafanua kama walivyofafanua kuhusu anavyoweza kupata maendeleo ya kujenga nyumba, kuvuna mazao mengi na kumiliki pikipiki na anatarajia kununua gari hao viongozi watakua ni hawana akili watu wenye wivu washughulikiwe wakanyee ndoo mpaka wafie huko na wafungwa...
hayo majimaji waliyoyakuta ni chemicaly inayotumika kuhifadhi vitu visiharibike na ilikua inatumika huko Egypt wakati yale mapiramidi ndio yalikua makaburi ya Farao hivyo ukisema haiwezekanai unakosea maan sio miujiza ni science
Hivi kumbe humu jamii forum siku zote huwa nadhani walioko huku nao ni great thinker kama inavyojulika kumbe kuna husks kama fb? mh poleni jamani kwa vile chujio lilitoboka wakati wa kuchucha brain ability
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.