katika mikoa top three kwa uchawi na ushirikina, maybe katika afrika mashariki, ni mbeya na wilaya zake zote, and most probably.. Rungwe- tukuyu....sasa imani za kishirikina zimemea kiasi kwamba hata wale vijana walio wa kweli na hard workers, wanatuhumiwa kupata mafanikio kwa njia hizo, kumbe sivyo. Ni wachapa kazi balaa.
Dhana hiyo imezikumba mpaka nyumba za ibada, mahakama, makanisa, masokoni ndio balaa mkoa mzima. Nadhani hata kwenye michezo, maana nilishuhudia mechi moja pale sokoine mbeya (ligi kuu ya vodacom) baina ya timu moja ya mkoa huo, ilipokutana na timu ya mkoa wa dar es salaam. Cha kushangaza sana, timu ya huko pamoja na viongozi wake walikataa kabisa kuingia uwanjani kwa kupitia milangoni!!
Badala yake waliparamia ukuta kwa kutumia ngazi za mbao za wajenzi wa mahali pale.
Timu pinzani ilbaki kushangaa tu. K