Kijana auawa akituhumiwa ushirikina

Kijana auawa akituhumiwa ushirikina

Wamesema anawaloga watoto ila hawajafafanua kama walivyofafanua kuhusu anavyoweza kupata maendeleo ya kujenga nyumba, kuvuna mazao mengi na kumiliki pikipiki na anatarajia kununua gari hao viongozi watakua ni hawana akili watu wenye wivu washughulikiwe wakanyee ndoo mpaka wafie huko na wafungwa wawafanye wake zao shezi zao
 
[QU OTE=ROBERT MICHAEL;10559990]Wenzetu wapo karne ya 21 sisi tupo ya 12.[/QUOTE]
siyo ya 12 inawezekana hata ya tano
 
ishu za witch hunting ulaya walizifanya zamani sana. waafriiika tuna safari ndefu ya kutoa ujinga.
Ujinga huo upo hukohuko mikoa iliyoko bara, mambo huwezi kuyakuta yakitokea Dar au Pwani kwa watu waliostarabika.
 
Mbeya inachafuliwa na matukio mabaya mabaya kwa sababu imevamiwa na watu kutoka uchagani, pemba, Ukinga, upareni, uhayani, uzaramoni nk.
Hakuna lolote Busokelo sio rahisi kumkuta Mpemba wala mzaramo na wengineo wote uliowataja hapo hizo ni tabia zao wenyewe Wazawa wa huko ambao ndio asilimia kubwa.
 
Haow unaowataja wakiwa Mbeya ndio wanakuwa washirikina hadi kuharibu rangi ya mbeya wakati wanakotokea hakuna rangi hiyo!!!!! Ni ajabu iliyoje kutetea suala lililo dhahiri!. Ungeniambia suala la muingiliano na tamaduni za nchi jirani kama malawi na zambia, pengine ningeweza kupata point japo kidogo.

Hao kina Mwa...... ambao hotel zao ukiingia lazima uache nguo mlangoni ni wahaya? Hao kina Mwa.......ambao magari yao lazima ukipanga uwe uchi ni wapare? Hao kina Mwa...... wanaouza sokoni wakiwa uchi wa mnyama ni wazaramo? Hao kina Mwa...... ambao hotelini kwao wanakorogea Mikono mikavu ya watu badala ya miiko, na human skulls badala ya soup bowls ni wapemba? Hao kina Mwa..... wanaofungua biashara alfajiri na kuingia wanaingia kimgongo mgongo ni wahangaza? Hao kina mwa.................ambao alfajiri lazima anawie maji, na kuyatemea kisha ayamwange mbele ya biashara yake ni wachaga?

Hoa kima Mwa................. wanaofuga vi ndyeki ni wafaransa? Hao kina mwa...... wanaoweka vichaa wanashinda mbele ya maduka yao ni wakwere? Hao wanyambuda na wa nyamanyafu ni wasambara?



Tafadhari mjomba, noamba uwe serious!. Mbeya inafahamika. Hao kina ...... wanaojenga nyumba na chumba cha giza kisichofunguliwa na watu ovyo, ni wanyiramba?

Mbeya inachafuliwa na matukio mabaya mabaya kwa sababu imevamiwa na watu kutoka uchagani, pemba, Ukinga, upareni, uhayani, uzaramoni nk.
 
Haya ni ya kwao wenyewe wanafiki sana wanajifanya wacha Mungu unafiki tu!
 
[QU OTE=ROBERT MICHAEL;10559990]Wenzetu wapo karne ya 21 sisi tupo ya 12.
siyo ya 12 inawezekana hata ya tano[/QUOTE]
12 century. Inquisition. Shame. Wivu.
 
STOP: reading between lines: aliitwa na viongozi then wakaanza kumpiga mpaka kifo: QUESTION: HAO VIONGOZI WAKO WAPI? JE? KUNA HATUA ZIMECHUKULIWA AGAINST YAO? IF NO WHY? How can we allow cold blood murders to be leaders hata wa kata?
 
Wakati tunapata Uhuru mbeya ndio miongoni mwa mikoa iliyokua inatoa wasomi wengi kwenda kwenye mashirika ya umma.sasa iv mbeya inaongoza kwa kutoa wajinga na wapumbavu wengi sijui wamepatwa nn.utasikia watu wanchunwa ngozi Mara MTU wamemzika akiwa hai ,Mara wamerushia mawe msafara WA rahisi.Nilicheka niliposikia wametangaza sugu ndio rais wao wakati wanajua sugu bange tupu"
 
Wakati tunapata Uhuru mbeya ndio miongoni mwa mikoa iliyokua inatoa wasomi wengi kwenda kwenye mashirika ya umma.sasa iv mbeya inaongoza kwa kutoa wajinga na wapumbavu wengi sijui wamepatwa nn.utasikia watu wanchunwa ngozi Mara MTU wamemzika akiwa hai ,Mara wamerushia mawe msafara WA rahisi.Nilicheka niliposikia wametangaza sugu ndio rais wao wakati wanajua sugu bange tupu"

rahisi-raisi
 
Dah wameipoteza nguvu kazi ya taifa..!mungu awarehemu waliomuhukum kijana huyu..so sad
 
Back
Top Bottom