Recent content by thomasfute

  1. T

    Hata Esther Bulaya kinachombakiza CHADEMA ni cheo

    Siku zote hua naamini kitu kimoja Tanzania kua ni nchi inayojinasibu kwa amani na utulivu ila ni moja ya nchi duniani ambazo watu wake unaeza kuwanyonya na kuwanyayasa vile utakavyo kabisa na ktk mtazamo huu usije fikiri kufanya jambo na Mtanzania la kimkakati utafeli asubui kweupe. Hili...
  2. T

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Kwanza pole na kazi dr mimi nasumbuliwa na tatizo la UTI niseme ni sugu mana nlienda kupima nkaadikiwa dawa mara ya kwanza nlichoma powerself tano bado nkawa naskia maumivu ya korodani moja ya kulia mpk sehem ya juu ya tumbo km eneo la kitovuni kwa pembeni upande wa kulia nkaenda tena kupima kwa...
  3. T

    Kikwete ataka mikutano ya hadhara

    Jk hua namwelewa ktk matamko na ushauri wake japo nae taarab nyingi saa aingine ila kampa ushauri mzuri sana
  4. T

    Chupi imeleta kizaazaa

    Ujue thread zingine bhana haya mzee naona umeshika kufuli la jirani tena cngo doo
  5. T

    Mkuu wa Mkoa Songwe: Ajira za Serikali zitakuwa za Mkataba Mkoani humo!

    Hahaa mizuka mara Dar hivi mara Songwe hivi kazi mukazi
  6. T

    Hii vita CCM mmeianzisha wenyewe, sasa muda ndio utakaotoa majibu, msije kulaumiana...

    Mnapoteza muda kumshambulia Lowasa hali udhaifu wenu ni mkubwa na ni bayana..
  7. T

    Lowassa apewe CHADEMA aiongoze kuelekea 2020

    Jaman mmeongea ofisi ya Chadema haina hadhi sasa kapeleka mikocheni nn mwataka?hahaha
  8. T

    Halima Mdee: Rais MagufuliI bil 88 za barabara ya Mwenge Morocco ziko wapi?

    Kimsingi katika utawala huu ukihoji kitu ambacho kibovu kilipita mikononi mwa rais wa sasa akiwa bosi wa wizara inayoonekana kuwa na dosar nyingi utaambulia kutukanwa tena na wasomi kabisa lakin pia si hivyo tu mpk watakuandika ww ni mpinzani kwa hivi na mgombea wako atahusishwa kwa matusi ni...
  9. T

    Nukta Nyeusi

    Hahaaaa
  10. T

    Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza uwanja ndege wa JNIA, Dar. Akuta mashine mbovu...

    Kiongozi hapa nmekuelewa vizuri binafsi hata mm najiuliza je shida nn mbn kuna Waziri alomteua mwenyewe na hajaenda kufanyia kazi hilo badala yake yy km kiongozi aliepaswa kupokea mirejesho kaenda mwenyewe km tu atawawajibisha hawa yan mkurugenzi na wachin yake asimwache waziri mwenyewe piaaaa
  11. T

    Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

    Tatizo one man show swali la kujiuliza je hamna mteule kwenye wizara hiyo??mpk muda huo ahusike yy kufumua madudu hali mteule wa eneo hilo yupooo?je hii inatoa taswira gani ?na je ni hao watendaji pekee ndo tuwawajibishe na kumwacha mteule wake?nadhani mmenielewa hapo.
Back
Top Bottom