Hii ipo wazi kuwa morali ya wafanyakazi wa umma imeshuka sana. Sasa hakuna kazi ya kufanya kw a moyo bali ni lazima. Kutishana kumejaa. Hakuna heshima ya kazi tena.
Amekuja kuongeza umasikini kwa watumishi wa umma. Anafanya haya yotr kwa malengo ya anayoyadai kuwa ni kuboresha maisha ya mtu wa chimi. Kiuhalisia hakuna cha kuboresha maisha ya mtu wa chini wala chochote kipya. Ukizingatia hata mama ntilie wanalia njaa.
Pesa hakuna. Bodaboda wanajuta. wafanyanyakazi kwenye mahoteli na mashirika mengine binafsi wanapunguzwa.
Je Magufuli ndugu yangu tumekuchagua uboresha maisha au kuleta njaa zaidi kwa wenye njaa?