Recent content by Thomas j. Lima

  1. T

    Kifo cha gazeti la MwanaHalisi, Je wameshidwa kuliendesha?

    Hivi ni vichwa vya ukurasa wa mbele wa Mwana Halisi jumatano ya wiki hii.Chadema kufuta kinga ya Mkapa, Kanumba kanumba,Maji ya dawasco hatari, Shilingi bilioni 300 kufukia migodi chambua mwenyewe
  2. T

    Pro kanumba naomba msaada wenu

    Ah wapi kanumba alikua maarufu kama mwigizaji tu. Hakua na jipya kwa Taifa hili. Yale matangazo uliyoyaona ni mediaa zetu hupenda habari za burebure wakatio BBC wanaripoti watoto lukuki wa mitaani na ajira kwa watoto wao wamekaa kusubiri habari zisizokua na tija kwa taifa hili! JF waliposema...
  3. T

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Zomba umeandika vitu vya maana sana kwa Lulu. Huo si ushauri tu bali ni tiba ya tabia kwa LuLu na wengine hiyo ndo maana ya hilo vazi wanaoenda kinyume wanamatatizo lakini Ujumbe huu ni haswa. Nashauri mtumi sms. Imetulia hiyo Comrade
  4. T

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Kwangu mimi Kanumba anastahili adhabu tena adhabu ya kumrubuni mtoto mdogo kama yule,watU wengi wanamuona kanumba ni inocent tena wengine ni wanawake wazima na akili zao wameshindwa kumuhurumia binti huyui ambae kutokana na umaarufu wa kanumba umesababisha huyu mtoto awe maabusu sasa, kutokana...
  5. T

    Renatus mkinga ndani ya malumbano ya hoja

    Huyu jamaa huwa anajianda kabla na hii ndo inavyotakiwa sio unakurupuka tu unakaa kwenye TV ilihali huna uelkewa mpana wa mada iliyopo mezani. Big up mnyarukolo
  6. T

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Kwani umesikia atashtakiwa? Hawa wapenzi bwana hata Lulu anauchungu mumewe kafa. Kosa lake lipi Marehemu ndo mwenye kosa kwanini unyang'anye cm ya mpenzi wako tena c mkeo wa ndoa. Lulu hakua na tofauti na machangu wengine ukimaliza biashara unaenda kwingine. So what.
  7. T

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    A wapi si tungemuenzi Tx mosh, Marijani, hana lakukumbukwa zaidi ya hizio filamu zake
  8. T

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Tulieni JF ni tv kubwa tutapata tu msiwe na presha..
  9. T

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Yatasemwa mengi hizo ni tabia za mastaa wengi.Kanumba kafa hakuna wa kupinga kifo.Lulu ni kama wanawake wengine mastaa na vituko vyao
  10. T

    Mzee Warioba kuongoza tume ya katiba!

    Kwa jopo hili nami nakubaliana nawe Mh. Rais Kikwete umeandikwa histolia mpya. Hongera sana. Kabudi,walioba,balegu.mvungi
  11. T

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Poleni sana wanafilamu Tanzania tupeni basi sababu sisi watu wa mikoani
  12. T

    katiba mpya

    "Hata kama itaandikwa kwa WINO wa DHAHABU katiba mpya isiposimamia ukweli Haifai"Ijumaa Kuu. Mhashamu Askofu mkuu Mtega jimbo la songea
  13. T

    Polisi ni wahuni!

    Ndo wachawi wa CCM hao. Wanaiangusha CCM kwa kuua raia na wanajenga chuki ya wananchi dhidi ya CCM
  14. T

    Mponda: Nitajiuzulu kuepusha vifo na si shinikizo la madaktari!

    Kiongozi makini anajiuzulu bila kujali nani alimteua au ana wadhifa gani. Kimsingi watu hujiuzulu kwa maslai ya nchi
  15. T

    TBC haifai kabisa.

    Hiyo tv dar
Back
Top Bottom