Recent content by THINKER MASARO

  1. T

    Ni wavivu wa fikra mnaodhani CCM imemleta Magufuli kwa bahati mbaya!

    Magufuli is not planned ccm president but coincidanse elected as ccm candidate to save things fall apart. We love him and not notorious leaders in the chama.
  2. T

    'Wenenchi' waanza mchukia Mhe Dr. Magufuli kwa sababu hizi

    Natabiri tu, hotel kukosa wateja kutoka serikalini. Ndege za root za china na Dubai soko kudorora, sasa hivi baa nyingi zitakosa wateja na watoto wa wapiga dili kurudi senti Kayumba, ni mambo mengi nitaendelea......... hii muhimu kuna kampuni nyingi zitakufa kifo cha mende.
  3. T

    Umuhimu wa Rais kuwa mwalimu

    nimeipenda hii, mwalimu haogopi kutandika eti jioni atapigwa mawe. Hongera sana sana waalimu. Mwalimu Magufuli usiogope mawe piga pindi na viboko kwa sana atakulipa Mwenyezi Mungu.
  4. T

    Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Every sciencentist belive there are supernatural power which run everything. Ni nani ameweza kuprove nguvu za uvutano zinazoshikilia sayari zote. All these are acquired science, lakini vipo vingi ambavyo ni hayajibiwi kisayansi kihesabu kifilosophia hata kifikra. uliwahi kujiuliza kama Mungu...
  5. T

    Hongera MwanaSimba, Kassim Majaliwa

    Haya sijui tutaisoma namba au ni ile ile au mchapa kazi.
  6. T

    Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Vunjo ninayoijua hapo wanapiga hela kama kweli lakin. Pia hata kwa miujiza na kwa wizi ccm haitashinda.
  7. T

    Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Miti yote utelizi labda jaribuni mpera huwa hauna utelezi. kisaikolojia wanataka kutuaminisha goli ya mkono maandamano feki na propaganda kibao but watu bado wanampenda LOWASA aliyemchagua Mungu wanadamu hawawezi kumzuia.
  8. T

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    lowasa anafaa kuwa rais wa nchi hii whatever is it. Bora upande mwingine wa shilingi kuliko upande mmoja siku zote.
  9. T

    Huyu dada nimfanye nini wadau?

    Usimfukuze mfundishe kazi ili ajue kuheshimu watu hata ambao hawampi faida yoyote utakuwa umewasaidia watu wengine watakaokutana naye na yeye pia
  10. T

    CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

    Ah. unachambua vizuri kweli. Una uwezo wa kushawishi fikra ndogo, na mtazamo wa hofu kubadilika. Lakini uandishi wako umejaa ushabiki na muelekeo wa upande mmoja. Be nutral writter ili taifa hili limanye maamuzi sahihi. Kwa mtazamo na fikra yakinifu, jeshi imara si zote hufanya mazoezi ya...
  11. T

    Asante Mungu kwa kutuletea Mgombea huyu Wa Urais, asante kwa utukufu

    Kama noma na iwe noma. Sitajuta kupiga kura kwa LOWASA hata nikiambiwa kaiba jana. Sio ushabiki ila utendaji wake ndo unanishawishi, kigezo cha ziada ni yeye kuwa UKAWA. Mungu ninayemuabudu huwa anasamehe. Paulo, Musa wote walikuwa wauwaji but wamesamehewa na wakawa watendaji wazuri wa serikali...
  12. T

    Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Hapa sawa. Maana kueleza tumecho, picha nazo hawaoni, nafikiri kicheko kitasaidia. Naunga mkono hoja.
  13. T

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Oil chafu alisema Nape, Kinana alisema makapi? Mungu mkubwa matusi hayo yanaongeza nguvu UKAWA.
  14. T

    Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

    mi hata sijasoma story yenyewe maana ni kupoteza muda. Tunabadilisha mfumo wa utawala mbovu wa CCM. Kwangu mi CCM ndo tatizo.
Back
Top Bottom