...huyu January alitaka sana uwaziri na akaukosa, naona watu waliokuwa wanataka kumtumia wamemuweka kwenye ile kamati nyeti na amekuwa akiongelea hoja moja tu kama umegundua...yeye na dowans tuuu, tunajua ni dalali na anatumiwa tu na anaostahili kuwalipa fadhila kwa kumfikisha pale...ni muda tu...
Hili sio jipya:
January alipandikizwa na wapinzani wa hoja ya richmond ili akamtoe Mzee shelukindo, alichangiwa kwa hali na mali na Mh.Lowasa,Rostam na rafiki yake Manji...na sasa amefanikiwa kumtoa na wamempa uenyekiti wa kamati ya madini na nishati aliyokuwa inaendeshwa na mzee shelukindo...
Tena ukimtaja mtoto wake nasikia alisemwa sana na nusura kamati kuu imteme mwanae kwakuwa wallicheza sana rafu...ili kumbeba mwanae ilibidi atangaze watu wenye kadi wote waruhusiwe kupiga kura ila kura feki zitumike...matokeo yake nasikia kura zilizidi idadi ya wanchama....sidhani kwanini JK...
Jamanni tokea siku CCM ilipozindua kampeni zao pale Jangwani ambapo JK alidondoka sijamsikia tena Mzee Makamba kwenye kampeni zinazoendelea....au kuna mtu amemuona jamani kwenye kampeni Mwanza,kagera...mtwara...
Zipo fununu kwamba aliboronga sana kwenye kura za maoni na kwenye mkutano mkuu...
sababu za bwana Januari kuamua kujitokeza sasa ni baada ya kusikia kwamba wanbumbuli wamemkataa baada ya kujua kwamba katumwa na hana jipya, ameleta usanii mkubwa huko kwa kwenda jimboni na kuahidi watu vitu bila kutimiza....ameahidi michango mingi alivyopita sasa hivi akiulizwa anasema yupo...
Nani kakuambia Januari ni Mgosi??? soma historia yake vizuri utajua....ni Mhaya kutoka kwa mama yake na hajawahi hata kuishi huko bumbuli..alipofika Bumbuli wazee walimshauri kama unavyomshauri wewe awe na makazi jimboni, alishauriwa anunue kiwanja na ajenge lakini akaleta usanii mpaka leo...
mimi naona kama tunaenda mbele na kurudi nyuma....wengi wa watu hawa uliowataja hapo kwenye headin ya thread ni kwamba tayari wanajulikana na mtu kama lazaro na kabwe lazima cv zao zipo kwenye website ya bunge, mtu kama January na Mnyika wamekuwa wakisikika na taarifa zao zipo na pia...
Taarifa zilizopo ni kwamba Bwana January Makamba amepata msiba wa bibi yake huko Bukoba na ameahirisha ziara yake jimboni bumbuli.
Tunampa Pole sana na kumtakia safari njema, japo kulikuwa na mabishano mwanzoni pale wananchi waliposema January si mzawa wa Bumbuli kama inavyodaiwa na baadhi wa...
haya ni baadhi ya maazimio ya mkutano mkuu wa ccm uliofanyika mwezi huu....
"Kufanya Kampeni kabla ya wakati
Kanuni za CCM zinaruhusu mwanachama kutangaza nia ya kugombea, hatas hivyo, Halmashauri Kuu ya Taifa , Imekemea vikali mwenendo wa baadhi ya wanachama wa CCM wanaowania kugombea...
naona kampeni zimeanza kupamba moto....Kumbe January Makamba anagombea ubunge..mbona hatangazi rasmi?
mwandishi wa habari anasema january ni chaguo la wananchi baada ya kuchoshwa na mze shelukindo.....ila ameshindwa kumpata january kuthibitisha kgombea....
nazani hii ni hatua nzuri kw vijana...
Ukishakuwa muandishi muajiriwa, mtizamo wako hauwezi kuwa independent hata kidogo, kuna fikra au idea za mwajiri wako ambaye ni lazima ziwe mbele nae mwajiri anawadau amabao ndio wanaoathiri kazi zake.....
Na pia tunapoona tatizo pia tusiishie kusema tu na kuandika katka lugha nzuri bali...
ni tatizo kubwa sana, madaktari,walimu na watumishi wengi wa umma...mpaka mapolisi wanalipwa kidogo sana, ndio maana hata rushwa haitisha maana wanataka kujikimu, na hili pia linashusha ufanisi katika taaluma zao sana....
mi nazani kuna tatizo kubwa katika haya yote....huenda raisi n mbishi na anataka kufanya anavyotaka yeye au wasaidizi wke wanamfanyia kitu kibaya au ni uozo uliopo kwa hiyo kila mtu anaona bora liende, hakuna wakumshika mwingine,hivi mbona ile aibu ya hotel ya arusha ilikuwa mbaya sana,ni wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.