Peter Selukamba na January Makamba ni vijana wa kazi wa Lowassa na Rostam! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peter Selukamba na January Makamba ni vijana wa kazi wa Lowassa na Rostam!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TheUchungu, Feb 9, 2011.

 1. T

  TheUchungu Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili sio jipya:
  January alipandikizwa na wapinzani wa hoja ya richmond ili akamtoe Mzee shelukindo, alichangiwa kwa hali na mali na Mh.Lowasa,Rostam na rafiki yake Manji...na sasa amefanikiwa kumtoa na wamempa uenyekiti wa kamati ya madini na nishati aliyokuwa inaendeshwa na mzee shelukindo..

  Selukamba, amekuwa ni kuwadi wa mafisadi wa wzi kabisa na alionyesha hivyo toka bunge lililopita, amekuwa ananufaika na misaada ya Rostam Aziz ambaye ndie mmiliki wa Vodacom, mwaka jana kamati ya miundombinu ilipitisha muswada mpya wa sheria ya mawasiliano nchini chini ya uenyekti wa mama kilango, sheria ile ilipingwa sana na wamiliki wa makampuni ya simu kwani inalazimisha wamiliki wazawa kuuza hisa zao kwa watanzania na kulazimisha taarifa za makampuni yao ziwekwe wazi, Rostam amefanikiwa kumuweka Selukamba katika uenyekiti wa kamati ya miundombinu, ni huyu Rostam ndio ali-influence selukamba awe mjumbe wa bodi ya TCRA ili kulinda maslahi ya vodacom....

  still mafisadi rules.....HAWAWEZEKANI...NA DOWANS TUTALIPA TU
   
 2. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  duh kazi ipo wandugu, misri na tunisia wameishatuonyesha njia.
   
Loading...