Recent content by thetruthtobetold

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yagoma kuongeza VAT kama ilivyo ombwa na Tanzania na Uganda

    THAMANI YA HELA YENYEWE NI AIBU! LEAVE ALONE HAYA
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya upinzani kuhusu bajeti ya Waziri Mkuu kutosomwa

    Nani anaangalia hilo bunge? hata waziri mkuu asipotoa hotuba kwa wananchi wa kawaida haibadilishi chochote! hata wakiacha kukutana ni sawa tu, hakuna shida!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kina dada wenye tatizo la hemoroid (kutokwa na nyama sehem ya haja kubwa) kuna fursa la sponsorship

    Last note: Again, seek advice from a lawyer or rafiki yeyote unayemfaham, mueleze my concern then umsikilize, all the best!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kina dada wenye tatizo la hemoroid (kutokwa na nyama sehem ya haja kubwa) kuna fursa la sponsorship

    Kuna issue hapa mkubwa, Quality and safety assurance inaweza ku fall kwako! who introduced wagonjwa kwa Daktari? ni wewe, then lazima ufanye utafiti wanafaa, ku waive hii liability ni labda uwaache waende hospital wenyewe! but kama umechagua Hospital au daktari halafu wakapata shida inaweza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kina dada wenye tatizo la hemoroid (kutokwa na nyama sehem ya haja kubwa) kuna fursa la sponsorship

    Sawa, this is good! and on the same note: Nakushauri tu, weka angalizo zuri la uwezo wa hao watu, vifaa na kazalika, Si unajua ndugu wa Tanzania tunavyopenda kubahatisha? Hao wauguzi wetu wasije kukuangusha ndugu! Nilitaka tu kujua average cost sio mkataba, ALL THE BEST!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    Inaonekana mimi ni mzembe sana, mimi hata idadi ya unit wala siangalii!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kina dada wenye tatizo la hemoroid (kutokwa na nyama sehem ya haja kubwa) kuna fursa la sponsorship

    How much do you sponsor them? wakikuzidi si mbaya ukishirikiana nasi pengine twaweza kuweka mkono hapo! HONGERA SANA KWA KUWASAIDI DADA NA MAMA ZETU!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

    Naishi Arusha, haya ni ya ukweli kabisa, Dar kwenye migahawa wapo fresh sana, sana sana, mara wakuite bocy, watabasamu, wakuulize etc, Arusha? NO WAY, sehemu nyingi hiyo hakuna, Ila HOTEL Kubwa ukaribu upo wa training! Kuna ukaribu wa utamadumi, na mazingira na wa Darasani, Dar mnao social...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

    Malingumu Hili LIPO WAZI, Arusha hakujalegea legea
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    KATAFUTE USHAURI KWA WAHUNI WENZAKO
  11. T

    JamiiForums Tanzania Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

    HUU NDIO UJINGA WA MTANZANIA, ITACHUKUA MDA SANA SANA SANA KUENDELEA TANZANIA KAMA TUNA WATU WANAFIKIRI KAMA WEWE
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    FACTS
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Hili halisaidii
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    M Spy, inawezekana ana mahusiano Nje
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    WOTE WAKO HIVYO
Back
Top Bottom