Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
- Thread starter
- #21
Ahsante sana kwa kuonyesha nia ila sijaona kama ni wengi kiivyo ila tutawasiliana nitakwambia wakizidi ili muwachukue wengine ila inbox contact ili naweza nikakupigia kuwapeni wengine, gharama nimeshaandika kwenye majibu fuatilia utaona gharama.
How much do you sponsor them? wakikuzidi si mbaya ukishirikiana nasi pengine twaweza kuweka mkono hapo! HONGERA SANA KWA KUWASAIDI DADA NA MAMA ZETU!