Recent content by TheStreetKing

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Itoshe tu kujua wote wako Marekani.🙂
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Kuna jamaa mmoja alisumbuaga sana pale Tosa Boys enzi hizo badae akaenda Kibaha. Jina lake Mathias Lalika. Natamani sana kujua shughuli yake baada ya kuondoka Tosamaganga.
  3. T

    JamiiForums Tanzania TCRA yapiga marufuku wimbo wa Nay wa Mitego uitwao "Tozo"

    Kwani sisi wabongo ni washamba kiasi hicho? Huu wimbo hauitwi Tozo, and was uploaded a year ago. Nimetafuta wimbo wa "Tozo" YouTube, ila sijaupata.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Tosamaganga High School

    Kwahiyo unataka kusema Cagliero walikuwa vipori sio?😄😁
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Tosamaganga Mpo???

    Nisikukumbuke tena Kikong'ox wakati mzee wako Posta Master alinipigisha sifongo miezi 8 hanipi money order yangu😀😃
  6. T

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Tosamaganga High School

    Migumi ni sehemu ya utaratibu Tosa Boyz. Kutoka 2005 mpaka 2008 kulikuwa na migomo kadhaa😃😄
  7. T

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Tosamaganga High School

    Anayemkumbuka Suzy, yule ticha wa kujitolea Mmarekani anikumbushe jina lake kamili. Itakuwa safi sana.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe shule ya sekondari Tosamaganga

    Anayemkumbuka Suzy, yule ticha wa kujitolea Mmarekani anikumbushe jina lake kamili. Itakuwa safi sana.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Tosamaganga Mpo???

    Mimi nilipita O-level 2005 to 2008. Kwanza namtafuta teacher mmoja mzungu anaitwa Suzy. Nani mwenye jina lake kamili?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Kwa hiyo kila mwenye uraia pacha atagombea ubunge, au kuchukua nafasi ya kisiasa, sio? Kwahiyo haiwezekani kuweka vigezo vinavyosema ni nani anaweza kugombea wadhifa wa kisiasa? Kweli kwa akili hizi finyu, Tanzania ina karne nyingine ya umasikini. 😆😅
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Wewe kuna mawili. Either ni masikini, na kama una maisha mazuri, either umekwiba, umepokea rushwa, au mzazi/mlezi wako ndio aliyetoboa. Na kama ametoboa, inawezekana na yeye alitoboa kwa wizi. In short, una mentality ya kimasikini.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Old School:Karibuni tukumbushie Makundi ya zamani ya Hip Hop/Bongo Fleva na Hits songs za zamani tu

    Jamani chonde chonde. Natafuta wimbo wa Sipendi Kuona wa Wandago Family. Mwenye nao, autume hapa tafadhali.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwamposa na wenzake waachiwa kwa dhamana. Najiuliza kesi ya mauaji ina dhamana? Ila ya uchochezi/ kutakatisha haina?

    Usiattack watu bila ya kuwa na understanding ya unachokisema. Ulishawahi kusikia kosa la kuua bila kukusudia? Una elimu gani wewe? Ningependa kujua kwa sababu a simple reasoning inakushinda.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes Ni nani?

    Wewe kweli ni mbongo. You speak like a typical African. Na yale mambo yetu ya "tutaona ataishia wapi" na "ngoja tuone". Personally, sijui ana malengo gani ndani yake huyu Benji, ila there are different ways to look at what he was trying to do. Kweli, yawezekana anataka kujikweza, he's branding...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes Ni nani?

    With your sort of mindset, hutakataa huo mshahara, ila wapo wanaoukataa. People have got dreams and ambitions. You don't have their mindset, so you clearly won't understand. You live in a different reality. Usifikiri kila mtu anafikiri kama ufikirivyo wewe. Learn that, and you'll start seeing...
Back
Top Bottom