Tupoooo PULL MUNDU hapa najua wengi wananijua kwa name hilo
We mtu upo? Faraji hapa
Tupoooo PULL MUNDU hapa najua wengi wananijua kwa name hilo
Tupo mkuu, mimi kipindi cha Mkangwa bana!!
Binafsi nilisoma kipindi cha Mpogole (aka Dudu). Napatikana kwa namba 0654 467758. Tuanze kuwasiliana.
Mkuu naona wote waliochangia hapo juu wamesoma juzi Tosa, mwenzenu nimesoma pale enzi za Mpogole (Dudu) na maeneo yetu ya kujidai yalikuwa Msombwe, Itamba na mara moja moja Kalenga. Mimi niko Ughaibuni ila mkianzisha akaunti maalum mchango wangu ni wa kufikia tu.
Tupoooo PULL MUNDU hapa najua wengi wananijua kwa name hilo
Tulikua tunacheza nae basket ball sana yule madam. Nilikuacha mwaka mmoja. Hapo 2007.Mimi nilipita O-level 2005 to 2008. Kwanza namtafuta teacher mmoja mzungu anaitwa Suzy. Nani mwenye jina lake kamili?
Nisikukumbuke tena Kikong'ox wakati mzee wako Posta Master alinipigisha sifongo miezi 8 hanipi money order yangu😀😃Tulikua tunacheza nae basket ball sana yule madam. Nilikuacha mwaka mmoja. Hapo 2007.
Daa umenikumbusha mkangwa mbabe kweli sijui yuko wapi headmaster wangu huyu nimeondoka 2001 paleMkangwa kaniachia alama alinipiga fimbo ya kichwani kwa kumsaidia rafiki yangu mgonjwa sababu alihisi tunachochea vurugu nyingine baada ya watu kuchoma moto majengo, mgomo mkubwa kisa kifo cha Eugine mtoto wa Kalenga mwanafunzi wa o-level day scholar.
NOTE: Nilikuwa A-level.
Mm cha mkangwakaka, ahsante tupo.... kipindi kipi wewe? cha Mbanga au cha Mkangwa au Charwe?
Kama mm nipita kipindi cha mkangwaTupo mkuu, mimi kipindi cha Mkangwa bana!!