Habari ya asubuhi ndugu zangu. Ninahitaji mbegu ya nyanya isiyo na bei ghali lakini inafanya vizuri na kutoa mazao bora.
Moja ya changamoto kubwa ya wakulima wa nyanya sasa hivi ni bei kubwa ya mbegu. Kampuni zinazozalisha mbegu sasa hivi zikiona mbegu yao inafanya vizuri tu wanaacha kuziweka...
Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa.
Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je, hapa Tanzania hii mbegu ipo? Kama kuna mtu anaifahamu naomba anisaidie nichukue chache nifanyie...
Habari wadau,
Ninahitaji kulima nyanya mwezi December. Naomba msaada mbegu inayofanya vizuri katika kuweka matunda makubwa (najua hili linategemea utunzaji lakini mbegu huwa ni factor kubwa tu), rangi inayoiva vizuri rangi ya wekundu, ugumu wa tunda kuhimili kusafirishwa na kukaa muda mrefu...
Kwangu haijalishi nani anatawala Zanzibar. Maana waliokuja baada ya Sultani na wakoloni ni wabaya kuliko wakoloni hao. Maana hii nchi ingekuwa ya wakoloni wao wenyewe na watu wao ni weupe kama wao wasingefanya unyama na ujinga unaofanywa na watawala wa sasa.
I don't care who rules Zanzibar na ni...
Wafanyakazi wa Ulinzi katika kampuni ya G4S inayolinda Geita Goldmine GGM wamegoma kutokana na malipo duni na kucheleweshewa mishahara.
Hakuna kuingia wala kutoka mgodini.
Hata Rais anaogopa kumtaja mhusika? Sasa kwa kuwa wanamrushia rungu yeye. Si achukue ushahidi azimwage makahakani. Jamani ushahidi uliopelekwa na Rais nani atashindwa kuufanyia kazi na kutupa uhalisi wa mhusika?
Dr Slaa alishasema amekaa kimya. Na nyie mumuache mkae kimya. Kama kuna harakati zinaendelea underground ziendelee kimya kimya bila kutangaza kwa nia ya kushawishi kwamba mambo yanaenda vizuri.
Zikifanikiwa ndio mje mtangaze kwa umma sio kupiga nae picha kurusha hewani wakati tofauti...
Kwa hiyo Dr uko tayari nchi iendelee chini ya utawala wa CCM? Hauko tayari kuona Tanzania iizike utawala wa CCM kwa compromise ya Lowasa kuwa Mgombea? Mbona Kenya wameweza na wamefanikiwa? Mbona Raila Odinga alikuwa mpambanaji asiyeyumba lakini aliungana na fisadi Mwai Kibali ili kutoa utawala...
Wewe hofu yako ni kuanguka kwa CCM wala si masaibu ya Lowasa akitoka CCM. Mazingira yamebadilika mno. Lowasa akitoka CCM atakuwa Raila Odinga wa Tanzania kuiangusha CCM na kutokomea katika ramani ya siasa ya nchi. Mimi Binafsi nilimpinga Lowasa kuwa mgombea wa CCM lakini naamini Lowasa...
Oh my God!
Haya ni maneno ya kuongea mkuu wa mkoa? Magesa Mulongo. Huyu hana sifa hata ya kuwa katibu kata. Anaongea utafikiri ni mkuu wa propaganda CCM tena ikiwa huyo mkuu wa propaganda hana akili timamu.
Huu ni uchochezi wa waziwazi na kuhubiri ukabila.
Wale wanaoshutumu usukuma wa...
Tuna katiba ya kishenzi kabisa. Yaani mtu mmoja anaamua tu anavyopenda kufanya uteuzi akiamka kitandani. Hakuna anayeuliza, hakuna uthibitisho wa wawakilishi wa wananchi.
Kwa mustakabali mwema wa taifa ili nchi hii kutoingia kwenye machafuko tunapaswa kuindoa CCM kama tulivyowaondoa wakoloni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.