Recent content by Therichman

  1. T

    Kuchangia pessa za interviewer

    wengi wamelizwaa na ninaamini ipo siku yao hao wanaofanya utapeli wa namna hii
  2. T

    Nitafute kwa biashara ya Kuku wa mayai wa kufuga mkoani Arusha

    For serious seller check me 0759663113
  3. T

    Nitafute kwa biashara ya Kuku wa mayai wa kufuga mkoani Arusha

    wewe una wa aina gani na wa umrii gani, mm nahitaji waliokaribuni kuanza kutaga
  4. T

    Nitafute kwa biashara ya Kuku wa mayai wa kufuga mkoani Arusha

    Kwa mtu aliyeko Arusha anayeuza kuku bora wa mayai anicheki tufanye biashara. Asanteni
  5. T

    A look at Uganda's second largest city-Mbarara

    what are the unique opportunities at Mbarara
  6. T

    Nahitaji mayai kienyeji trei 30 kutoka Singida

    anayeuza aseme ataniuzia bei gani
  7. T

    Nahitaji mayai kienyeji trei 30 kutoka Singida

    Ndio nipo Singida, Ila kama upo Arusha Manyara au Moshi naweza pia kuchukua.
  8. T

    Nahitaji mayai kienyeji trei 30 kutoka Singida

    Kwa yeyote aliyeko Singida na ana uwezo wa kunipatia mayai ya kienyeji zaidi ya trei 30 kila baada ya wiki 2 anicheki.
  9. T

    Bethan Schools ziko eneo gani mkoani Kilimanjaro?

    Asante sana mkuu, kwa hiyo kwa mtu anayetokea Moshi anatakiwa kushuka kituo gani?
  10. T

    Bethan Schools ziko eneo gani mkoani Kilimanjaro?

    Jamani tusaidieni, mimi nahitaji kujua Bethan schools ziko eneo gani mkoani Kilimanjaro? Natanguliza shukrani zangu za dhati. Kama unajua nijulishe, 0759 663 113/ 0716 466 426
  11. T

    Kwanini ufikirie kujenga nyumba mbili; ulipozaliwa na unapoishi? Chanzo cha umasikini

    most ppl think their house is asset bt in real your house is not an asset.
  12. T

    Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

    Kwani ili ujiajiri kwenye hicho kilimoo unachoita cha kisasa unahitaji mtaji wa sh ngapi Acha ujinga, uza smart phone uliyonayo anza kufuga kuku wa kisasa, tengeneza mtaji JIAJIRI.
  13. T

    Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

    wapo wakulima wengi vijijini wanahitaji ushauri wa kilimo, kuwa FREELANCER AGRICULTURE CONSULTANT hii haihitaji hat sh 10. Anza ulipo, usitake kuanzia mbali. Muda haukusubiri.
  14. T

    Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

    h Huyo hajakusaidia kakuuwa kimtazamo endelea kusikiliza waliofeli, wakati wenzio wanaanza from 0. unawaza mtaji ni pesa tu? mtaji wa kweli ni ww mwenyewe kwanza.
  15. T

    Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

    kama ni mtoto wa masikini na mkopo umepewa ukaacha kufocus mbele, ukakimbilia kununua sabufa na smart phone badala kununua au kuweka mtaji wa mbegu na kuanza kulima lazima tutegemee haya yanayotokea. MUNGU UTUHURUMIE
Back
Top Bottom