Asante sana mkuu, kwa hiyo kwa mtu anayetokea Moshi anatakiwa kushuka kituo gani?Barabara ya kutoka Moshi kuelekea Mwanga, kabla hujafika Uchira. Ukifika maeneo hayo uliza utelekezwa
Asante sana mkuu, kwa hiyo kwa mtu anayetokea Moshi anatakiwa kushuka kituo gani?