Recent content by thepower

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu mzuri wa kuwa nae anatakiwa asiwe na tabia hizi :

    Unaweza Mkuta Mwanamke ajuhi movie wala mchezaji hata mmoja ila muulize kuhusu wanaume wa mtaani anawajua wote hadi waliohamia jana ..[emoji3] [emoji3]
  2. T

    JamiiForums Tanzania Fungate: Mwanamuziki mkongwe na mbunge wa Mikumi, Prof. J kufunga ndoa na Grace

    Pro j kashawatumia sana ndiyo time yake yakuoa hii.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Barnaba Usitake Kuniangusha!

    Kuachana Kwani ajabu, kama mmeshindwana mnapigana chini, huwezi kumforce mtu kuishi nae bhana haya maisha kuwa na furaha ni jambo la msingi sana..
  4. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...

    Masaa 48 ya Mkuu wa Wilaya yanafanya kazi yake. Ahahaha... Mtu mwenye Mamlaka sio wakuchezea nae..
  5. T

    JamiiForums Tanzania Zinazomtesa Manji ni tuhuma za kutumia madawa tu?!

    Kama ulimwoshea dharau tena mbele ya uma unafikiri nani ataweza kusahau, pesa sio kila kitu hapa duniani huyu jamaa alifikiri pesa yake ndiyo kila kitu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Math anatafuta kazi

    Thanks
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tunapangisha Nyumba

    Ina Chumba Choo na Sebule. Bei Tsh laki 2 kwa Mwezi. Kodi ya Miez Sita. Nyumba itakuwa wazi mwezi ujao, Nyumba Ipo mbezi beach. Note: Mimi Sio Dalali
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Math anatafuta kazi

    Ni muhitimu wa mwaka huu, ngazi ya shahada. Natafuta Kazi (part time job) kama Mwalimu wa Math, eneo la Dsm.
Back
Top Bottom