Majanga chief.huwa nawaangalia sana vijana wenzangu halaf nataka kukubalibmay be mm ndio nimepitwa na wakat lakin Noo idea hiyo inagoma kabisa kukubalika kwenye akil yangu.
Vijana sijui wamepagawa na nn aisee
Nilivyokua nasoma hizo sababu nikawa natarajia kukutana na mahali ambapo ukiombwa utinduliwe mtaro wa maji taka basi utaamua kumuacha huyo boy au man wako.Kumbe gresh tu huna shida na hilo.
By the way itakua ni sehemu ya ku explore anatomical pleasures.
Kaka naomba uimalizie mpaka huko maana mbali na kula tunda kimasihara huu pia ni uzi wa mafunzo na burudan ku share life stories kama hazitakuathiri sana binafsi.
Please naomba uweke huo muendelezo kuufanya uzi uwe na nakshi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.