Zee la Nyeti
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 702
- 470
ulevi tu
Mume sio familia yako[emoji849], uko serious au unatania. Ila ukiishi na hii mentality utapata tabu sana ukija kuolewa.Kwangu familia mi baba, mama na wadogo zangu wawili. Baadae nikiwa na watoto nao wanakuwa familia yngu. Mimi boyfriend au husband sio familia yngu.
Hio ni familia ya baba ako na mama ako.. si yakoKwangu familia mi baba, mama na wadogo zangu wawili. Baadae nikiwa na watoto nao wanakuwa familia yngu. Mimi boyfriend au husband sio familia yngu.
Mwache mtoto basi...Akikua ataelewa kwanini mama yake amekuwa bega kwa bega na mshua mpaka mda huu alipofikia anaweza kumiliki simu na kutaipu upuuzi kama huo.Ni hivyo tu? Mbona wewe uko simple waifu matirio kabisa. Mimi nilivyosoma tu title ya uzi vimetiririka vitu kama 20 ndani ya sekunde 30
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni 1st year huyo kama ulikuwa hujui,sema ni katoto flani ka kishua kabonge bonge halafu kazuriii kapo Hapo kcmc[emoji38][emoji38][emoji38]unahangaika na anatomy
Vitu ambavyo siwezi kuja kuvifanya hata nipende vipi. Vitu hivi vikitokea bora kla mtu aende upande wke tu na wala sitojiuliza mara mbili ni kuachana tu.
1. Kua against na familia yngu. Hta nipende vp km hakuna maelewano mazur kati ya familia yngu na mwanaume ninaempenda halafu tatzo likawashindwa kua solved naachana nae tu siwezi kuchagua mwanaume niliekutana nae tu hko juu ya familia yngu. Kwa mimi familia yngu ndio kla kitu hpa duniani na hakuna mtu yoyote anaweza kuwa juu ya familia yngu. Huelewani na familia yngu bora tuachane.
2. Mapenzi na kazi. Ati hv ninavohangaika na anatomy na physiology hta silali vizuri halafu mtu aje aniambie niache kazi kisa mapenzi tu. Ati nikae nyumbani tu 🙄 mwanaume wa hv naachana nae mara moja. Siwezi kuja kuchagua mapenzi juu ya kazi NEVERRRR
Kwangu vtu hv vina value kubwa kulko mapenzi. Km hv vitu hv havitokua sawa na mapenzi hakuna. Je wewe ni vtu gani vina value kubwa kwako kuliko mapenzi?
Kwangu familia mi baba, mama na wadogo zangu wawili. Baadae nikiwa na watoto nao wanakuwa familia yngu. Mimi boyfriend au husband sio familia yngu.
Ni ama aolewe na psychologist au zoba.Mume sio familia yako[emoji849], uko serious au unatania. Ila ukiishi na hii mentality utapata tabu sana ukija kuolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app