Tanzania like Kenya has the save fiber network but in Kenya access to faster internet is cheaper which has allow for companies to have their offices in Kenya while Tanzania has lag behind.
There is more vibrate startup scene in Kenya again due to cheaper and affordable internet compare to...
Pata habari za hii kesi hapa
https://scontent-atl3-1.xx.fbcdn.net/v/t31.0-8/22791635_860530897460571_4631805948125969759_o.png?oh=0888b2c4fc10a8de9c95fae13c57c4bd&oe=5AAE97C9
Wewe unaongelea nini kweli? why shud we accept less than other countries? Kenya has improved their passport issuing process and it super fast. Embu fikiria kabla ya kuongea na jaribu kufikiria ubora zaidi ya ulivyo zoea. Tunapo taka hizi passport tunalipia na hatujali kama gharama ni kubwa...
Ninayo ndugu kama watano wame apply na wote wakaambiwa wapate barua au waonyeshe mwaliko wa kutembelea nje ya nchi kitu ambacho ni cha ajabu kwa dunia yaleo. Wabongo wanapenda kusafiri hata kama ni kwenda dubai, sauzi n.k. mimi naona kama kuuliza hivyo vitu vimepitwa na wakati
A friend of mine from Tanzania wanted to get a passport just to have it in case she wants to travel outside Tanzania and they wanted her to submit a proof that she is in fact has such trip.
Isn't passport a right for any Tanzanian? Why do Tanzanians need a proof or show that they need the...
Sawa mkubwa tumia app yeyote unayotaka kama unaona Sikiliza haina manufaa kwako ni sawa pia. Mimi natumaini wengine watoona ina manufaa na watatumia.
Kila la kheri mh.
wewe umejaribu app yetu? Radio garden iko vizuri ila ila vitu vingi kwa mtu ambaye anataka tu kusikiliza radio. Pia radio garden kwa kuwa ina vitu vingi inakula data sana kwa hiyo siyo nzuri kwa watu ambao wako makini na data.
App yetu iko inazingatia umuhimu wa redio kwa kila nchi. Mtanzania...
Bado hawajaweka uwezo wa ku stream online. Kama unafanya nao kazi waambie tunaweza wasaidia kufanya mitambo yao pia iweze kuwa kwenye inteneti na kuwekwa kwenye app yetu.
Send us an email at info@sikiliza.co.tz au unaweza weka hapa kwenye tovuti yetu sisi tutahiruhusu iwe kwenye app -- SIKILIZA
Nijulishe bado kama unamaswali.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.