Why do Tanzanians need a reason to apply for passport?

theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
22
Likes
15
Points
5
theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined Oct 13, 2017
22 15 5
A friend of mine from Tanzania wanted to get a passport just to have it in case she wants to travel outside Tanzania and they wanted her to submit a proof that she is in fact has such trip.

Isn't passport a right for any Tanzanian? Why do Tanzanians need a proof or show that they need the passport for planned trip outside the country?

Thank you
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,420
Likes
13,555
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,420 13,555 280
kwa wasiopenda uongo pia huwa hicho ni kikwazo.
cha ajabu unakuta sehemu nyingi vitu vya kuambatanisha na passport inawekwa utadhani nayo ni kama cheti cha kuzaliwa. hii utaikuta kwenye matangazo ya kazi,form mbali mbali etc.

ngoja waje wataalam wa mambo haya watoe uzoefu na sababu wenda kuna sababu ya msingi.
 
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
1,025
Likes
938
Points
280
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
1,025 938 280
uyu ni zwazwa tu coz kuulizwa reason of that it's not a crime that ur not qualified
simple unajaza tu I hav friends, relative's, gilfrend/boyfriend outside Nina plan yakuwatembelea in future over
THOSE A JUST CHALLENGING QN as they don't ask any prove for that sasa jipanikishe uitwe mkimbizi
 
iyo inategemea kama ni issue ya kutravel nje ya nchi hata Kenya passport ni lazima kulingana na nature ya kazi sehemu zingine passport inakuwaga option tu kama vilivyo vitambulisho vinavyotambuliwa
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,160
Likes
8,901
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,160 8,901 280
Only in Tz. Nilienda kuchoma yellow fever wakataka nithibitishe kwamba nasafiri. Nikawajibu sikuwa na safari but just kujiweka fit kiafya wakanikatalia. Nilipowauliza kwanini nikajibiwa hizo chanjo ni adimu sana. As simple as that. Inawezekana hata passport vitabu ni vichache.
 
theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
22
Likes
15
Points
5
theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined Oct 13, 2017
22 15 5
uyu ni zwazwa tu coz kuulizwa reason of that it's not a crime that ur not qualified
simple unajaza tu I hav friends, relative's, gilfrend/boyfriend outside Nina plan yakuwatembelea in future over
THOSE A JUST CHALLENGING QN as they don't ask any prove for that sasa jipanikishe uitwe mkimbizi
??? hapa sielewi point yako
 
theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
22
Likes
15
Points
5
theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined Oct 13, 2017
22 15 5
iyo inategemea kama ni issue ya kutravel nje ya nchi hata Kenya passport ni lazima kulingana na nature ya kazi sehemu zingine passport inakuwaga option tu kama vilivyo vitambulisho vinavyotambuliwa
Ninayo ndugu kama watano wame apply na wote wakaambiwa wapate barua au waonyeshe mwaliko wa kutembelea nje ya nchi kitu ambacho ni cha ajabu kwa dunia yaleo. Wabongo wanapenda kusafiri hata kama ni kwenda dubai, sauzi n.k. mimi naona kama kuuliza hivyo vitu vimepitwa na wakati
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,420
Likes
13,555
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,420 13,555 280
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,866
Likes
3,185
Points
280
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,866 3,185 280
Hii ndo bongo. Niliwachezea chezo mpaka wakanipa
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,528
Likes
2,036
Points
280
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,528 2,036 280
uyu ni zwazwa tu coz kuulizwa reason of that it's not a crime that ur not qualified
simple unajaza tu I hav friends, relative's, gilfrend/boyfriend outside Nina plan yakuwatembelea in future over
THOSE A JUST CHALLENGING QN as they don't ask any prove for that sasa jipanikishe uitwe mkimbizi
Poor you! haiko hivyo. kwa tz kupata passport ni issue sana. kuwa na passport ni haki ya kila mtz, so hizo bureaucracy hazisaidii kitu ni kudumisha umaskini tu. inafaa ministry of home affair wakuje na reforms specifically on travel documents.
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,528
Likes
2,036
Points
280
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,528 2,036 280
Only in Tz. Nilienda kuchoma yellow fever wakataka nithibitishe kwamba nasafiri. Nikawajibu sikuwa na safari but just kujiweka fit kiafya wakanikatalia. Nilipowauliza kwanini nikajibiwa hizo chanjo ni adimu sana. As simple as that. Inawezekana hata passport vitabu ni vichache.
pole sana mkuu. mimi napata shida kurudi home ku-renew. ubalozi wa huku ni kama nyani dume(dharau mingi) na hawana msaada wowote. nawaza kuachana na passport ya tz coz napata shida sana ku-renew kwani wanaanza maswali yao ya kijinga eti "wewe ni mtanzania kweli"! inatia hasira sana na inakera
 
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
1,025
Likes
938
Points
280
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
1,025 938 280
wapenda shortcut utawajua tu watu wew unajua sheria hairuhusu kurenew passport outside of ur origin country lazima urudi otherwise badilisha upewe ya nchi nyingine
nyie mnaosema beucracy ivi kwa akili ya kawaida kwa nchi kama izi zetu mtu huna hata adress hujulikani ni MTZ, Mkenya, mganda, mnyarwanda, mkongo eti beurocracy isiwepo the problem kubwa tumezoea kutoa rushwa na wengi hawapelekagi documents zinazohitajika ndo maana mnasumbuliwa
 
theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
22
Likes
15
Points
5
theLaikwanani

theLaikwanani

Member
Joined Oct 13, 2017
22 15 5
wapenda shortcut utawajua tu watu wew unajua sheria hairuhusu kurenew passport outside of ur origin country lazima urudi otherwise badilisha upewe ya nchi nyingine
nyie mnaosema beucracy ivi kwa akili ya kawaida kwa nchi kama izi zetu mtu huna hata adress hujulikani ni MTZ, Mkenya, mganda, mnyarwanda, mkongo eti beurocracy isiwepo the problem kubwa tumezoea kutoa rushwa na wengi hawapelekagi documents zinazohitajika ndo maana mnasumbuliwa

Wewe unaongelea nini kweli? why shud we accept less than other countries? Kenya has improved their passport issuing process and it super fast. Embu fikiria kabla ya kuongea na jaribu kufikiria ubora zaidi ya ulivyo zoea. Tunapo taka hizi passport tunalipia na hatujali kama gharama ni kubwa kidogo laki huduma iwe nzuri kidogo. Hatutaki shortcut tunataka process ambayo iko chapchap na inayo eleweka.

Sababu zako unazotoa inaonyesha jinsi gani mdogo mawazo yako yalivyo au jinsi gani unafikiria kwamba Tanzania haiwezi fanya vitu kwa ubora zaidi. Hakuna anayetaka shortcut/kiki tunataka uduma bora na serekali ambayo inajali.

Hivi wewe umeshawa kutafuta passport? Mimi nilikwenda renew passport nche ya nchi na eti walichukua fingerprints kwa kutumia wino (wino????) siku nzima vidole vimechafuka wakati nchi kama rwanda/thiopia raia zao wanatumia eletronic finger print system na siyo lazima wasafiri ubalozini. Ikachukua zaidi ya miezi sita kupata passport??????

Dont make excuse for a poor governance and poor support by Tanzanian government for her citizens outside the country. Diaspora's bring a log of economic benefits to the country. Dont get me started on other outdated immigration laws like lack of dual citizenship support!
 
MAJIYAPWANI

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
742
Likes
896
Points
180
MAJIYAPWANI

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
742 896 180
Ila mimi walinihenyesha aisee daah sina hamu nao mpaka fomu zilichanika nkakomaa mpka nkapata aisee ila wanazingua sana kiukweli nilipeleka documents km 20 hvie mpka siku nkamkuta afisa mmoja hvie ni wa kabila langu ndo akanionea huruma daaah bongo nyoso passport km unaomba ajira serikalini.......
Headquartes kurasini wasumbufu hatari nenda rudi kama 20 hvie
 
Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Messages
1,027
Likes
1,600
Points
280
Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2009
1,027 1,600 280
wapenda shortcut utawajua tu watu wew unajua sheria hairuhusu kurenew passport outside of ur origin country lazima urudi otherwise badilisha upewe ya nchi nyingine
nyie mnaosema beucracy ivi kwa akili ya kawaida kwa nchi kama izi zetu mtu huna hata adress hujulikani ni MTZ, Mkenya, mganda, mnyarwanda, mkongo eti beurocracy isiwepo the problem kubwa tumezoea kutoa rushwa na wengi hawapelekagi documents zinazohitajika ndo maana mnasumbuliwa
Aliyekuambia ukitaka kurenew passport lazima urudi nchini mwako ni nani?Unajua kazi mojawapo ya balozi zetu nje ya nchi? Mimi nimerenew passport mara mbili nikiwa nje kwenye ubalozi.Mambo mengine siyo lazima mchangie.
 
M

Mirreh2012

Member
Joined
Oct 20, 2017
Messages
71
Likes
45
Points
25
M

Mirreh2012

Member
Joined Oct 20, 2017
71 45 25
Only in Tz. Nilienda kuchoma yellow fever wakataka nithibitishe kwamba nasafiri. Nikawajibu sikuwa na safari but just kujiweka fit kiafya wakanikatalia. Nilipowauliza kwanini nikajibiwa hizo chanjo ni adimu sana. As simple as that. Inawezekana hata passport vitabu ni vichache.
Ungekuwa unajua hizo chanjo zooote zina madhara gani mwilini wala usingekimbilia kutafuta chanjo ya aina yyte
 
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Messages
1,966
Likes
704
Points
280
MJINI CHAI

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2010
1,966 704 280
A friend of mine from Tanzania wanted to get a passport just to have it in case she wants to travel outside Tanzania and they wanted her to submit a proof that she is in fact has such trip.

Isn't passport a right for any Tanzanian? Why do Tanzanians need a proof or show that they need the passport for planned trip outside the country?

Thank you
That happen to my Friend.....He planned to have the Passport for further use.......but he failed to gate it because of that QN.............Eheeeeeeeeeeeeeeee na mimi leo nimeongea ''KIDHUNGU''.....................!!!!
 
Forum statistics

Threads 1,236,893
Members 475,327
Posts 29,271,301