Acccess East African Radios from anywhere! Radio za Nyumbani

theLaikwanani

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
14
Points
45

theLaikwanani

Member
Joined Oct 13, 2017
14 45

SIKILIZA is an application which bring all Tanzania FM radios closer to your phone Don't get bothered find the radio to listen to your favorite show again. We brought all the radio close to you. The app will use your phones 3G, 4G, or even Wi-Fi connections you can stay connected and stream from anywhere in the world.

Passion FM 99.9
EBONY FM 87.8
COUNTRY FM 88.5
VOT FM 89.0
SIBUKA FM 97.0
ABOOD FM 89.7
Upendo FM 107.7
Choice FM 102.5
Clouds FM 88.5
E-FM Radio 93.7
East Africa Radio 88.1
Radio One 89.7
TBC FM 90.0
Times FM 100.5
CG FM Radio 89.5
Qiblaten FM 103.6

Radio Jambo, Kameme FM, Classic FM, Radio Citizen, Inooro FM, Kiss 100, Milele FM, Radio Maisha, Ramogi Fm, Coro FM
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,973
Points
2,000

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,973 2,000
Kuna Redio ambayo siwezi kuisikiliza katika Radio Garden hapo?

Kama tayari nina Radio Garden, hii app itaniongezea nini?
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,973
Points
2,000

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,973 2,000
Send us an email at info@sikiliza.co.tz au unaweza weka hapa kwenye tovuti yetu sisi tutahiruhusu iwe kwenye app -- SIKILIZA

Nijulishe bado kama unamaswali.

Asante
Sijasema kwamba kuna redio nataka kuijumuisha huko,nauliza, kama mimitayari nina Radio Garden, nina haja gani ya kuwa na app hii?

Kuna Radio ambayo haipo katika Radio Garden ambayo ipo kwenye app yenu?
 
theLaikwanani

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
14
Points
45

theLaikwanani

Member
Joined Oct 13, 2017
14 45
Sijasema kwamba kuna redio nataka kuijumuisha huko,nauliza, kama mimitayari nina Radio Garden, nina haja gani ya kuwa na app hii?

Kuna Radio ambayo haipo katika Radio Garden ambayo ipo kwenye app yenu?
wewe umejaribu app yetu? Radio garden iko vizuri ila ila vitu vingi kwa mtu ambaye anataka tu kusikiliza radio. Pia radio garden kwa kuwa ina vitu vingi inakula data sana kwa hiyo siyo nzuri kwa watu ambao wako makini na data.

App yetu iko inazingatia umuhimu wa redio kwa kila nchi. Mtanzania kwa mfano atakuwa anapenda zaidi kusikiliza redio za tanzania ingawa muda kwa muda anaweza sikiliza redio za nje ila mara nyingi anasikiliza redio za kitanzania.

hii ni sehemu tu ambayo kwa nini utahitaji app yetu. Ila kama unavyo jua uamuzi ni wako siku ya siku sisi tutaengeneza na kuboresha app yetu kuhakikisha ina ubora wa juu.
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,973
Points
2,000

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,973 2,000
wewe umejaribu app yetu? Radio garden iko vizuri ila ila vitu vingi kwa mtu ambaye anataka tu kusikiliza radio. Pia radio garden kwa kuwa ina vitu vingi inakula data sana kwa hiyo siyo nzuri kwa watu ambao wako makini na data.

App yetu iko inazingatia umuhimu wa redio kwa kila nchi. Mtanzania kwa mfano atakuwa anapenda zaidi kusikiliza redio za tanzania ingawa muda kwa muda anaweza sikiliza redio za nje ila mara nyingi anasikiliza redio za kitanzania.

hii ni sehemu tu ambayo kwa nini utahitaji app yetu. Ila kama unavyo jua uamuzi ni wako siku ya siku sisi tutaengeneza na kuboresha app yetu kuhakikisha ina ubora wa juu.
Data si issue kwangu, nina unlimited plan na nikiwa nyumbani na kazini natumia wifi.

Mpaka sasa hujanieleza cha zaidi cha kunifanya ni install kwa sababu nikitaka kusikiliza redio za Tanzania nitazipata Radio Garden.
 
theLaikwanani

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
14
Points
45

theLaikwanani

Member
Joined Oct 13, 2017
14 45
Data si issue kwangu, nina unlimited plan na nikiwa nyumbani na kazini natumia wifi.

Mpaka sasa hujanieleza cha zaidi cha kunifanya ni install kwa sababu nikitaka kusikiliza redio za Tanzania nitazipata Radio Garden.
Sawa mkubwa tumia app yeyote unayotaka kama unaona Sikiliza haina manufaa kwako ni sawa pia. Mimi natumaini wengine watoona ina manufaa na watatumia.

Kila la kheri mh.
 
Forum statistics

Threads 1,389,660
Members 527,997
Posts 34,031,378
Top