Mmasai akifika anaposhukia (mara nyingi ni mbugani porini hamna hata nyumba na sio kituo cha gari kusimama na wakati huo basi liko spidi zaidi ya 120) basi atamgonga kondakta rungu la kichwa huku anamwambia shusha!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna wakati ni lazima uishi leo tu bila kuwaza kesho itakuwaje. Jipe muda maana muda utakupa suluhisho la shida yako. Pia muombe Mungu atakuvusha maana alilokupangia litatokea tu hata iweje.
Mungu alilopanga ndilo litakalotukia. Sio kwamba...
Mkuu hata mimi nashindwa kuelewa hapo. Wengi wetu huwa tunakusanyika kama familia kutazama taarifa ya habari kimazoea.
Sasa shida ni pale unapolazimika kuikusanya familia yako mmebebana kama vitunguu mnaangalia taarifa ya habari kwenye screen ya simu. Hapo bado kuna mtu anakupigia kwenye simu...
Sasa anaoshaje bila funguo? Ninavyoelewa Car wash kuna maeneo mengi kutokana na process nzima ya kuosha gari.
Labda iwe hizi baby walker zetu wawe wanashirikiana kuibeba!
Vita ni vita mura!!
Sidhani kama imewahi kutokea vita ya kijinga jinga kwenye uso wa dunia. Vita ni kujitoa kafara, vita ni kurisk maisha ya watu, mali na ndoto zao. Vita ni kuamua kumwaga damu; yako na ya adui yako. Hakuna mtawala anayeenda vitani kijinga jinga, hata wafalme washenzi wa zamani...
Watu wengine sijui mnatumia nini kufikiria. Kama maisha hayaanzi na hela unafanya kazi ili iweje. Huwa unaenda na beseni wanakuwekea uji?
Ninafanya kazi vizuri sana na ni mbunifu ndio maana bado niko kazini na nina-excel kwenye karia yangu. Ila hii kazi ina muda wake. Nikifa leo wife wangu na...
Mkuu nikushauri kitu ikiwa utaniruhusu! Badili kabisa approach yako kwa hawa wajasiriamali wadogo!
Jishushe, fanya urafiki na hao watu, jifunze maarifa yao, mapito yao na changamoto walizo nazo; waombe wakueleze fursa zao na malengo yao! Hakika utakuwa na hekima kama ile ya Mfalme Suleiman...
Mimi nimeajiriwa ila najua mawazo mgando kama haya ndio yanayotufanya waajiriwa tunakufa masikini. Ni mawazo ya hovyo sana.
Hata kama umemzidi kipato huyo unayemuita mwenye kimradi cha kufuga kuku, tambua amekuzidi mambo mengi sana. Uhuru, ubunifu, experience na uwezo wa kukuza au kubadili...
Hizi ni habari mbaya sana asubuhi ya leo. Mungu awape moyo wa subira wote walioguswa.
Tuna matatizo makubwa sana kwenye maingiliano ya barabara na reli. Endesha gari Kigoma, Tabora na miji mingine yenye reli zilizo active utajua Mungu tu ndie anaetuokoa.
Wakati mwingine unakuta reli imekaa...
Myaonapo haya tafakarini mifumo yenu ya elimu na tabia za wasomi wenu kujisifia ubabe wa dx/dy na kukariri maraisi wa marekani kuanzia George Washington hadi mama Hillary Clinton!!
Yani mimi niko cool sana ila ukitaka kujua mimi ni zaidi ya sensei chukua advantage ya uwepo wa mpenzi wangi kuleta shari.
Utakuta nimeruka nimesimama juu ya kichwa chako halafu nakuangalia kwa chini nikikuuliza kwa tabasamu, tuendelee ama tusiendelee!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.