Recent content by theicon

  1. T

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

    Kama kulivyo na majira mbali mbali ya mwaka hivyo hivyo kukawa na wanawake warefu,wafupi,wanene, wembamba,weusi,weupe , wenye gluteal kubwa na gluteal ndogo lengo ni kila mtu kuna kitu anapenda tofauti na mwingine mleta mada kaelezea akipendacho yeye na hata wewe kuna hicho upendacho na sio...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

    Hahahaaaaaaaaa.....,umefanya jioni yangu kuwa muruaaah..nimejisahau kama faza hausi kesha toa vitu vyangu ndani
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hostel mpya UDSM zina hadhi ya chini sana! Huwezi linganisha na 'white' houses za UDOM

    Welcome white house...JERUSALEM
  4. T

    JamiiForums Tanzania Serikali imevifuta Vituo vyote vya huduma za Afya ya VVU na UKIMWI kwa watu wa makundi maalumu

    Mkubwa kwani hivyo vituo vinatibu ukimwi?..
  5. T

    JamiiForums Tanzania Faru John wajanja walishamnywa kitambo, pembe zilizoonyeshwa ni za faru "Hadija"

    Mbona kuna watu wanaitwa simba, mapunda ila wanyama hawalalamiki wala nini[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  6. T

    JamiiForums Tanzania UDOM Pitia hapa, Neema Hizi

    Umesema kweli mkuuu hio tunasikia tu ilikuwepo ila tangu tuanze mpka namalizia now mwaka wangu wamwisho sijawahi iona hii..nasikia waliiiondoa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    ndani ya mwendo kasi chap mpka JKIA ndani ya mapanga shaaa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Sipatiii picha mwaka 2019 kutakavyo kuwa na fursa nyingi mpka watu tusahau maumivu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Nasikia ndo yamefika chalinze now (jokes)
  10. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vitu ambavyo vikimtokea Mwanamke hatajali chochote

    Tafadhali tutake radhi wazibua vyoo mkuuu[emoji15] [emoji15]
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa ndoto ni reflection ya future ya mtu?

    Sure unachosema mkuu...ingawa kuna kitu kwenye issue ya memory Kinaitwa "de'ja'vu" ambapo mtu anahisi tukio kuwa lilishawahi tokea nyuma ingawa in real sense halijawahi tokea.Vile vile kuna kitu kinachoitwa IMANI hichi ndicho kinachochukua nafasi kubwa katika doto, kama ukiamini ulichoota...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mbona tafiti zimekuwa nyingi kipindi cha Rais Magufuli kuliko kwa Kikwete?

    Mwenye macho haambiwi tazama
Back
Top Bottom