apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
Habarini wadau, Mimi ni kijana wa miaka 19, kwa miaka mi3 mfululizo nimekuwa nikijihusisha na kufanya ubunifu wa mambo mbalimbali yanayosaidia jamii nimebahatika kushindanishwa katika mashindano mbalimbali na kushinda.
Ni wiki chache toka niote ndoto ambayo niliifurahia. Niliota nilikuwa nikihutubia watu mbalimbali wakubwa na wenye vyeo nchini MTU pekee ninayemkumbuka ni Paul makonda ambaye alikuwa moja ya wageni katika hafla hiyo nakumbuka niliongea mambo ambayo yaligusa watu wengi na baada ya kushuka jukwaani makonda alinifuata na kunikumbatia na kuniuliza kuwa niliwezaje kufanya mambo mbalimbali katika umri wangu huu Mdogo na watu wengi wakatamani kunisaidia.
Kwangu Mimi Hii ndoto niliiamini na ninaamini ni moja ya njia mungu anayotumia kuwasiliana nami na kunijuza kuwa siku moja ninaweza kukutana na watu mashuhuri duniani. Ningependa je ndoto kama hii ina ukweli wowote ndani yake nikilinganisha na shughuli zangu za kilasiku? Na je kama ni moja ya ishara za mungu nifanye vipi niweze kufanikiwa kuwa MTU yule ambaye ndoto hii inajaribu kunielezea.
Naombeni na ushauri mwingine wowote unaweza kufaa. Asante
Cc mshana jr Heaven Sent DIVINE