Recent content by Thegame

  1. T

    JamiiForums Tanzania Manager wa TRA Handeni mjini ni tatizo

    Muendee Sindeni kwa mababu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Mkuu chenchi ni fidia ya kushika tako ukiwa bar.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

    Acha hizo, hakuna cha trust wala nini! Mwanaume akifulia hakuna amani tena! Kifo nje nje kwa stress sababu kuu ni mwanamke! Mimi niliponea kiduchu kufa kabla sijapindua meza
  4. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

    Mimi nitaomba kife kabisa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

    Msiba umeisha, chukua hela fanyia issue zingine za maendeleo, kuna shida hapo?
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Hata mimi ningetukana kama huyo mumeo
  7. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Hivi ukisema normal unamaanisha ni UHD au FHD au HD??
  8. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

    Pole mkuu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

    Hivi ukihisi unafuatiliwa kama ulivyosema wewe, kwanini usiendeshe gari moja kwa moja hadi kituo cha polisi? Au nawaza ujinga?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nang'atuka kwani ualimu siyo baba yangu wala mama yangu

    Kuna jamaa namfahamu aliacha ualimu kama huyu, leo hii kila nikikutana nae ananiomba buku apate chakula.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Go go go the Palestine. Pelekeni moto. Kama mbwai mbwai tu. Leo niko na nyie dhidi ya umagharibi.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda hawana Haki

    Hii ajari nimeishuhudia live. Tukiwa tumesimama kusubiria kwasababu taa zilikuwa zimeruhusu Mwendokasi zipite, boda boda yule akaona anachelewa, akaangalia upande mmoja akaona kweupe akataka kukatisha kuingia Lumbumba hamadi Mwendokasi hii hapa. Mengine ni history. Ni uzembe wa bodaboda kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    HIV sio issue, isikufanye ukose raha. Zingatia tu ushauri wa wataalam wa afya.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uagizaji magari - We are looking for Sales manager

    With at least more than :rolleyes:
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhambi ya Zinaa, Ngono, Uzinzi na Uasherati

    Mengi kati ya hayo sio dhambi, eti kuangalia picha ya ngono ni dhambi? acha kupotosha watu
Back
Top Bottom