Shukrani kwa mada, mkuu
Umeielezea vizuri sanaa, hasa kwenye mfano wa komputa na binadamu, vitu vingi vinavyotutokea sio bahati mbaya, bali ni matokeo ya matamanio, vitu tunavyowaza au kufanya mara kwa mara
Wataalamu wanasema mambo mengi mazuri au mabaya yanayotutokea, husababishwa na sisi...
Mkuu naona kama umehamisha mada ila kakijaharibika kitu.
Kwanza, ninachosimamimia mimi ni kuwa Dr. Shika ana elements zote za Ujasusi, kulingana na maelezo yake na alaivyoelezea Mshana.
Inshu ya kwanini kampuni iwe na jina kubwa lakini inatumia website ya kulipia, hilo sitaweza kukujibu kwa...
Je wewe umetumia vigezo gani kupinga bro!
Je hapo unapinga ukiwa kama nani, Mchambuzi, Mchumi, Askari, Daktari, Engineer au nani mkuu!
Je umepanga bajeti ya kiasi gani kukamilisha risechi yako?
Je utaenda Russia na Spain kujiridhisha? Au itakuwa ni resechi ya humu humu kwenye mitandao...
Tatizo lipo wapi hapo mkuu? Mshana amelezea kulingana na maelezo ya Dr. Shika, hayo nimambo ya kufikirika.
Bila shaka wengi walikuwa na mawazo kama ya Mshana, binafsi sioni tatizo na fikra za Mshana. Mwanzo nilikuwa simpatiii jibu Dr. Shika ni mtu wa namna gani! Ila baada kuangalia na...
Tatizo ni kwamba, hata siku akijua kinachoendela... bado hatakubali kuwa alikuwa HAJUI.
Haiwezekani wewe unapoteza muda wako kutuletea HABARI NJEMA kama hizi, halafu yeye analeta mambo ya ki DOTARD!!!
MKUU, UMEFANYA WEMA KUMPUUZIA.
http://68.media.tumblr.com/f78cc4ddc0ab754bb3152dc4b4280e37/tumblr_oadcfouY2R1s4v9ino2_r1_250.gif
http://25.media.tumblr.com/tumblr_m57e2srvS81qbn9g2o3_250.gif
Mkuu kama unaweza kupata namba ya T-bag wa Prison Break, angeweza kukusaidia sana kwenye hili swala.
Au check movie inayoitwa Money...
Sio mbaya, ila ukiifanya mchana kweupe ndio vizuri ili uishinde nafsi yako, JITOE KIFUNGONI. Hakuna anayekudai! kwanini ufunge ndoa usiku usiku!
Wapo watu wengi wana hela ila wanafunga harusi simpo sanaaa.
TUFIKIRI TOFAUTI, TUACHE MAZOEA!
kufunga harusi ya gharama wakati hauna nyumba, Kiwanja...
Umesema milioni 50,000,000/-
AU NIMESIKIA VIBAYA?!!!
Alikuwa pedeshee ndama au pedeshee kuku?!!! Ana moyo MKUBWAAA!!!
Natania lakini daaa...nilioni 50 ni hela nyingi aisee!!! Kuichoma moto kwa usiku mmoja ni HARAMU na kejeli kwa Watanzania wengi.
Hata kama ilikuwa ya kuchangiwa, wasimamizi...
Upo sawa kabisaa bro, hata mimi nategemea kufanya hivyo wakati ukifika. Nitafunga ndoa ya kimya kimya/isiyokuwa na gharama kubwa.
Binasfi sioni maana ya kufunga ndoa ya milioni 15-20+ kwa ajili ya kulisha na kunywesha watu!
Mfano:
Gharama ya ndoa ni milioni 15,000,000/- kulingana na...
Mkuu, je ni kweli kwamba haujaelewa walichokukuwa wana maanisha?
Mtangazaji kuendelea na maswali mengine, kunaonyesha kwamba wameeleweka.
Kingereza ni kimoja ila kuna tofauti ya LAFUDHI na baadhi ya maneno huandikwa tofauti kulingana na sehemu/Nchi. Mfano USA na UK.
Kama kilivyo Kiswahili cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.