Debate: Zimepoteza umaarufu?

Debate: Zimepoteza umaarufu?

Kwa miaka mingi njia ya majadiliano ya hoja zinazokinzana maarufu kama 'debate' imekuwa ni kivutio kikubwa kwa wasikilizaji, sio tu kwa mada zinazojadiliwa bali hata kwa namna na mtindo wa uwasilishaji.

Shukrani kwa kutufikishia habari Mkuu, binafsi mimi sio Muislam, ila naamini kupitia hizi Debate nitajifunza kitu.
 
Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au!!
 
Zinaongeza uchumi wetu kwa kiasi gani hizo dini za kuletwa kwa majahazi?
 
Kwa hiyo papa aliingia mitini alikosa hoja za kuutetea ukristo
Dini ni Imani.Huwezi hoji kwa nini Mwenyezi Mungu alifanya hiki na sio kile.Uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo kuliko ulinganishe akili ya sisimizi na binadamu.
 
Back
Top Bottom