Naangalia british comedy series ya miaka ya 90 inahusu jamaa anaefundisha wanafunzi mataifa tofauti kiingereza, episode mojawapo kuna mwanafunzi wa scottish anajitambulisha kwa style ya kuongea kama mac regan wa original comedy kabisa na jina pia la mwisho anasema mac regan, nashindwa kuelewa...
Nachojua mm gravity inplay part kubwa mtu kuzeeka that's why wazee wanajikunja fluid zikiisha kwenye spinal cord nguvu dhidi ya gravity inapungua, wanawake matiti kushuka as time goes by
When the gravitational force is so strong time also tends to slow down, miller's planet jamaa walienda wakaspend masaa machache tu waliporudi wakakuta wenzao waliowaacha ni wazee tayari miaka ilipita almost 20 waliokoenda 2 seconds zilikuwa ni sawa na 20 hours walikotoka. Refer "interstellar" movie
T
Kama unaongeleo iron dome technology ya wamarekani wanayotumia wa Israel kujilinda dhidi ya vikombola vya hamas haiwezi kuintercept ballistic intercontinental missile
Kama unaongeleo iron dome technology ya wamarekani wanayotumia wa Israel kujilinda dhidi ya vikombola vya hamas haiwezi...
Kwa kuangalia kivuli cha miguu jamaa yupo karibu sana na meza, mkono wake wa kushoto probably umeshika meza, there is no way that lady is staring at his genitals , mnamsingizia huyo mdada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.