Punnisher
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,133
- 1,247
wew jamaa ni mashine mimi hizi medicine zimeniharibu skuizi....nilikuwa napenda sana physics....Kuhusu hapo alipoelezea mkuu boniuso ngoja nikupe mfano rahisi labda utapata mwanga.
Hicho kipimo chako cha moyo kufanya kazi unahesabu mapigo 72-100 kwa dakika(sekunde 60) at a certain space(point) in universe. Sasa fikiria huyo binadamu akaweza kumove kutoka space moja kwenda nyingine in universe(spacetime)in the same fabric. Sio kwa sekunde moja(ambayo ni mapigo 1.6.....) ila chukulia kwa millisecond au nanosecond huo moyo utadunda kwa mapigo kias gani(~aprox 0) hivo basi mtu anaweza akaenda katika space nyingine na kuexist na kurudi akiwa kapitisha muda(time) mrefu ila umri ule ule(age) kutokana na muda wa kuhama kutoka space moja kwenda nyingine kuwa ndogo mno kuweza kubadilisha umri.
Mfano wa pili. Katika dunia tu(same space) kuna uwezekano wa watu kutoka sehemu tofauti kuwa na birthday moja ila umri tofauti(kutokana na mzunguko wa dunia east na west) sasa pata picha mtu ambaye ana birthday moja na watu hao hao wawili walioko mabara tofauti na wakawa na umri tofauti at a certain point of time(their birthday eve for example). Sasa huyu mtu wa tatu tuseme hayuko mbali yupo hapo juu tu ISS(iko km 400 tu kutoka duniani) sasa mtu huyu aliondoka akiwa na umri sawa na wale jamaa wawili tayari wana umri tofauti katika siku hiyo. Hapo utajikuta una 3cariables tayari umri wa jamaa wa kwanza wa east atategemewa kutangulia kuwa mkubwa kwa namba ya miaka atafuatiwa na jamaa wa west. Na je yule aliyekua space station at that moment ana umri gani? Na je akitua east atakua na umri gani? Akitua west je?(kumbuka na kuzeeka kunachangiwa na functions za ubongo pia) na hili unaweza kulithibitisha hata kwa jet lagging tu pale unaposafiri na ndege kwenda west ya dunia huwa ubongo unahangaika kuadjust kuishi the same day in your life twice.
Sasa huo ni utangulizi(kwa huyu jamaa aliyekua 400km from earth surface. Fikiria sasa mtu huyu(teknolojia ikiwepo) aweze kusafiri zaidi ya km 400 kwenda huko mbali kwenye intergalactic planetary universe(kwa spidi ya mwanga) umbali atakaokuwepo ni hundreads million light years.
Hivyo basi akiweza kwenda na kurudi atawakuta wenzake wana umri mkubwa kuliko yeye. Hata kama kwake itakua ni blink of a second.
Duuuuh... sijui unanisoma?