Niaje friends?
Kuna wadada nawafahamu kwa miezi kadhaa kuwa ni marafiki, lakini majuzi wamezinguana na kutoana ngeu mpaka mmoja kumtimua nyumbani kwake kisa, "DUSHE".
Inasemekana hawa girls ni marafiki tangia wakiwa wadogo na wamesoma shule moja na darasa moja, baada ya kumaliza elimu ya...