Hapa JF kuna mwanamke aliyekamilika kwa uzuri kama huyu?

Hivi mnatufikiriaje wanawake wa JF kwamba sisi ni wabaya sana au?

Wapo wazuri zaidi ya huyo, sijawahi kuwaona ila naamini hivyo sababu hapa ni kama mtaani kuna wazuri pia.

JF kama mtaani tu huku kuna wanawake wa kila aina.

asa ana uzuri gani
Demu wa kawaida kabisa mm mwenyewe hamifikii kabisa hata ¼
mleta uzi unataka kututoa mapovu anzisheni shindano la mrembo wa JF muone
Jf wanawake wazuri wapo wengi, baadhi yao nimeshakutana nao. Huyu hana uzuri wowote, wakawaida sana.
 
Hivi hiyo picha ya huyo mdada na jamaa mbona zimekuwa maarufu sana?whatsapp naona watu wanazipost sana au hao ni watu wa wapi katika picha?
 
DZxVYhfXUAARqSG.jpg:small
Umeangalia kifua lakin? Kuna kama vitu vimechomoza hivi
 
Hivi mnatufikiriaje wanawake wa JF kwamba sisi ni wabaya sana au?

Wapo wazuri zaidi ya huyo, sijawahi kuwaona ila naamini hivyo sababu hapa ni kama mtaani kuna wazuri pia.
Tupieni picha zenu mjikate nyuso lkn

Ova
 
Ana kiuno Kizuri.....hana minyama....tumbo liko poa.....maziwa Yke ymekaa vzuri kimtindo.....anakatako fulani kwa Nyuma anaonekana ana curves.....damn.....ok ,ngozi yake imekazaaa .....ana mguu mzuri

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom