Wakuu asalam aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ni muda mrefu hawa watoto wa kinyarwanda wamekua wakichanganya mtima wangu. Yaan nikiwaona roho yangu inakufa ganzi kabsa.., naomba Kama wapo humu wani pm. Awe mrefu, age: 20-25, elimu level yoyote...
Nadhan wanawake wengi hawajui Kuwa kuna tatizo kubwa sana Kuwa single mothers hasa pale ambapo umri umeenda.,, mfano hai Ni mama yangu mzazi amekua mpweke sana baada ya Mimi kukua hadi namuonea huruma sometimes, Na nakiri siwez kumpa attention ambayo angepewa Na mume wake. Naombeni single...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.