Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,733
Ha ha ha ha ha duh anataka akakamuliwe asubuhi asubuhi, mdogo ake huyu....ndo mana mwenyewe akasema amekosea...kajichanganya kutuma kwenye group na ndo mana huyo jamaa mwingine anamshangaa..
Ha ha ha ha ha duh anataka akakamuliwe asubuhi asubuhi, mdogo ake huyu....ndo mana mwenyewe akasema amekosea...kajichanganya kutuma kwenye group na ndo mana huyo jamaa mwingine anamshangaa..
ndoa za siku hizi majangaHa ha ha ha ha duh anataka akakamuliwe asubuhi asubuhi, mdogo ake huyu.... View attachment 342108
Nashukuru kwa kuligundua mapema maana huyu jamaa anaonekana alikurupukaa kuleta ujinga huuu bila kujuaMbona kama sms za group, kwan sms hizo ni from more than one number, hii ni kanyanga aisee
Lakin huwezi jua labda walikuwa wamejiunga kwenye group moja, then one of their friends aliyekuwa kimya akachukua screenshot na kumtumia!! Uongo mwingine uwe unajipanga, kwani lazima kutunga storry!!!Nashukuru kwa kuligundua mapema maana huyu jamaa anaonekana alikurupukaa kuleta ujinga huuu bila kujua
Usiku mwemaHizo chats mbona ni za group?
Samahani mkuu Mimi natumia iPhone nimejaribu ku edit Kama ulivyomshauri chief hapo juu imegoma, au kuna app nidownload?Fungua Edit.... N then una draw kw kuchagua color!
inaitwaje hiyo application ulotumia ipo play store?Fungua Edit.... N then una draw kw kuchagua color!
shukran mkuu nimekupataingia play store andika photo editor..then ukisha download ifungue weka picha then chini utaona option kibao we chagua draw ina kialama cha karamu.
Sasa kama humo kwenye hilo group kuna wambea si wanamfikishia mumewe huo ujinga.....!!!ndo mana mwenyewe akasema amekosea...kajichanganya kutuma kwenye group na ndo mana huyo jamaa mwingine anamshangaa..
Mkuu wanaume wana mishe tofauti tofauti yaweza kuwa mume anaamka saa 10 kuwahi kazi/kibarua. Anarudi saa 4 usiku akiwa amechoka taabani. Usiku anamgusa tu mkewe. Asubuhi wala hajawahi kuwaza kumpa lishe mkewe.Huyo sio mke asilani,,hizo ni chart za magroup.Pia kwa mke asubuhi unakuta ameshashughulikiwa alfajiri hana uwezo wa kutaka gemu saa tatu labda awe na gonorrhea.
Hio ni hatari kwa maisha ya ndoa.Kama mtu ana mke na anaamkaga saa kumi alfajiri inabidi awahi kurudi home awe na mkewe na siku za off atulie na mkewe,,kugongewa atasikia pembeni tu,,,la sivyo ana hatari sana.Mkuu wanaume wana mishe tofauti tofauti yaweza kuwa mume anaamka saa 10 kuwahi kazi/kibarua. Anarudi saa 4 usiku akiwa amechoka taabani. Usiku anamgusa tu mkewe. Asubuhi wala hajawahi kuwaza kumpa lishe mkewe.