Recent content by the_molwa

  1. the_molwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wanawake watu wazima

    Nakuunga mkono mkuu watu wazima kwanza sio wasumbufu wanajali na wanaupendo wa dhati sio kama hawa agement wenzetu apointment saa 8 mchana utashanga kuna ratiba zinaingia katikati ambozo kimsingi hazieleweki.
  2. the_molwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

    Hongera felix Simbu
  3. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

    NGOJA NITAFUTE UCHOCHORO NI NUSE CHUPI YANGU.
  4. the_molwa

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Hili jambo hali hitaji mtaa lumumba wala mtaa wa ufipa kinachohitajika ni kuunganisha hii mitaa tuwe pamoja kuipata haki yetu iliyopotea kwa muda mrefu.
  5. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Sababu tano(5) kwanini unapata pesa lakini huna maendeleo

    Sasa nimefunguka mawazo kumbe kipengele namba 3 na 5 kina nidumazaaa kimaendeleo.
  6. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

    Ufafanuzi huu umeeleweka vzr
  7. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Sad: Zari, Diamond waipasua familia ya Ivan, Baba Ivan aongea kwa uchungu

    kunauseme unasema ukisikia akili za kuambiwa changanya na zako... tambua huyo alie leta hiyo habari (MANGE) kambiwa tu.
  8. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

    kuna useme wa kiswahili unasema kumchinya kobe taimingi sasa tusubiri tuone je kobe naye atachinjwa.
  9. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

    Mikataba mibovu ndio iliyotufikisha hapa na hakuna kitu kingine.
  10. the_molwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Karibu mgeni wetu wa kudumu nyumbani HIV
  11. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

    kila mwanameke / mwanaume anakua na type yake ya maisha kwa mtazamo wa jambo analokua analisimamia katika mzunguko wa maisha yake. Giggy ana type zake na watu wa aina yake anatakiwa kuwa nao....... Msando naye ana type zake na watu waina yake anatakiwa kuwanao ......
  12. the_molwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF tusomeeni upesi sana hiyo barua iliyofika mchana huu kwa DHL ili Wanasimba tujimwage mitaani

    mtoa habari anaseme ni habari chini ya kapeti kuwa barua imefika kisha anadai wapewe ubingwa kipi ulicho ambiwa kuhusu hiyo barua
  13. the_molwa

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanafunzi wa IFM mwaka wa tatu afariki Dunia

    R.I.P
  14. the_molwa

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wanyamwezi ni kitu gani kinawaangusha kuwa na maendeleo..?

    Mzigo mzito mpe Mnyamwezi
  15. the_molwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

    kama Real Madrid na Barcelona anacheza hata ulete wapishi wa Hotel ya five star nyumbani hapakaliki..
Back
Top Bottom