Napenda wanawake watu wazima

Napenda wanawake watu wazima

Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje.

Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.

Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.

The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimiss because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.

I love these matured ladies!

[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]
MATURED person?????!!!!!!

Subiri nakuja.
 
Watu hawajui tu. Tatizo hakuna aliyewahi kusema na ukisema unaitwa marioo etc, so inabidi kuwa siri kati ya wanawake hao na wanaume wao wa umri mdogo. kimya kimya
Ni raha sana sawa. Ila mtihani ni gia ya kuanzia kumtongozea.
Lazima uanze na shikamoo dada ama shikamoo mama kwa kuwa kakuzidi umri.
Halafu sasa ndiyo ifuate sijui 'ooh mama nina shida'
Ukiulizwa una shida gani, ndouanze kuzungusha lugha! 'Ooh sipendi kulisemea hapa labda unipe namba ya simu'
Super mkomao keshakusoma mwanzo na mwisho wa uelekeo wako, atakwambia simu bovu huku kakukazia macho akikutathimini!
Ndo hapo utapoanza kuropoka! 'Ooh mama siku nyingi natafuta muda wa kuliongelea suala hili, lakini nakosa....kiukweli ninakupenda'
Ana-serch authentication code yako ili aone kama yaliyomo yamo!
Atakutega 'wee kijana hivi mabinti zangu makamo yako hauwajui?
Unajibu 'ninawajua'
Anakuambia kwanini usiende kwa mabinti zake, badala yake unamfuatafuata yeye mbona hauna adabu?
Ndipo unapojibu 'kesi ya mama haimfungi mtoto'...'kwa hiyo nimekupenda wewe na si mwanao'.
Anakujibu 'mimi nitakuamini vipi, je kama unataka kutuchanganya?'
Wewe unajibu kwa kujiapiza.... 'haki ya Mungu mama me nakupenda wewe na sina tabia hiyo'
Anatabasamu huku anakusoma kwa ustadi mkubwa!
Anakupa masharti magumu ya kuingia kwenye penzi lake kama ifuatavyo, akihofia uwezekano wa kumchanganya yeye na wanaye vijana wenziyo...'Sitaki unapofika nyumbani uniamkie shikamoo', amkia 'za leo' ama 'za sahizi' na nitakutambulisha rasmi kwa wanangu kwamba sasa wewe ni baba yao'.
Mh! Nilikuwa najaribu kutengeneza gia ambayo hukuwezesha wewe kuwaingia kina mama watu wazima na kufanikisha kuwanasa!
Maana wengine ni wakorofi na vikienda vibaya unaweza kulambwa matusi mpaka ukaomba radhi.
Hongera kuukwea mbuyu kwa kuukumbatia, maana si kazi nyepesi kama wengi tunavyodhania.
Shida ya pili ni hao wanaye unaolingana nao makamo!
Wanakuita baba akiwepo mama yao ili kunridhisha.
Lakini kama hayupo, utaitwa kwa jina lako kavu huku yakicheka. Dah!
Mzee una kazi weye!
 
Duh, inawezekana unapenda kuhongwa, mimi hawa watu hazipandi kabisa nina karibia 40yrs ila napiga mpaka vitoto vya 17yrs yaan hivi ndo bado thread zimeshika kila kona yaan ukikagusa tu kamejaa hadi zinamwagikia na unashugulika bila kuombwa po. Si watu wazima unamwandaa lisaa zima unaona kisimmmmi kimekaza ukitaka kupanda kinarudi unaanza kumwandaa upya

jaman nimecheka had kulia!dah
 
Nani asiyependa mabinti wadogo?
Lah! Lah hasha!!Hakuna
'Kijana' mwenzangu unataka urahis wa kulelewa?????
Uarabuni utalelewa!!! (Kidin)
Bandiko lako umelilipia?

Mpenz wa kweli ni pesa tu.Tafuta pesa
 
Mwanamke akikuzidi sana pia umri siyo vizuri kwake unakua Marioo...

Siyo mpaka akikuzidi ila siyo difference kubwa sana...

Ila inapendeza zaidi mwanaume umzidi mwanamke umri...

Cc: mahondaw
 
Mwanamke akikuzidi sana pia umri siyo vizuri kwake unakua Marioo...

Siyo mpaka akikuzidi ila siyo difference kubwa sana...

Ila inapendeza zaidi mwanaume umzidi mwanamke umri...

Cc: mahondaw
Hilo jina Marioo limeshatafutiwa mzizi page ya 4 huko....sasahivi tunaheshimiana.
 
Mwanamke akikuzidi sana pia umri siyo vizuri kwake unakua Marioo...

Siyo mpaka akikuzidi ila siyo difference kubwa sana...

Ila inapendeza zaidi mwanaume umzidi mwanamke umri...

Cc: mahondaw
Hoja zako zijashijibiwa na watu wakaelewa somo langu, wakaanza kunipongeza. ova
 
Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje.

Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.

Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.

The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimiss because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.

I love these matured ladies!

[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]
Mmmmh wewe. ..
 
Kuna watu wazima vyombo kwelikweli,halafu wanamke akifika 40-45 utamu huwa unaanza upya,,na nyege zinaanza upya kabsa,ndo maana unakuta wanawake wanaanza kuchepuka.kwakweli hata mimi napenda sana watu wazima,halafu hakuna usumbufu..
umejuaje Jirani yangu? Dooh
 
Sina cha kusema.

.Kila la heri dogo fanya kitu roho inapenda. Ila jihadhari pale inapotokea umependa nke wa ntu maana kwenye umri wa 40+ wengi unakuta wameolewa .

Na mwanamke wa umri wa 40+ anakuwa ameshajizalia watoto wake na wamekua.. .So hana stress za watoto wachanga yupo anapambana na maisha tu. So akibadili ladha na kumpata kijana km Kheri Hansen maisha yanakuwa motooooo.. .
 
yaani ni motooooo
 
Nakuunga mkono mkuu watu wazima kwanza sio wasumbufu wanajali na wanaupendo wa dhati sio kama hawa agement wenzetu apointment saa 8 mchana utashanga kuna ratiba zinaingia katikati ambozo kimsingi hazieleweki.
 
Back
Top Bottom