Recent content by The_dexter

  1. The_dexter

    Tz ikitushinda natoka JF milele

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. The_dexter

    Nianzie wapi kusoma programming Languages

    Hakuna shida, inawasaidia hata vijana wa sasa Nadhan thinking capacity yako haiko sawa, imeshake kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
  3. The_dexter

    Nianzie wapi kusoma programming Languages

    Anza C programming language then after jifunze data structure and algorithms then endelea na Cpp or Java
  4. The_dexter

    Kodi ya kuagiza simu kutoka nje ya nchi

    Ndo nilikua natoka kuamka...
  5. The_dexter

    Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Kapime ngoma inawezekana kakuachia ili ujifariji usife haraka
  6. The_dexter

    Kodi ya kuagiza simu kutoka nje ya nchi

    We jamaa muongo sana.. mwizi kabisa unaonekana
  7. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Karibu JF
  8. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Hata akisoma banking and finance nayo ni nzuri
  9. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Lazma asome certificate kwanza ndio maana wameandika course ya miaka 3, certificate ni 1yr and diploma 2yrs = 3yrs
  10. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Ukisoma hiz course na ukawa unapishana na pesa basi ujue ulikua unakariri, yan hujuzi wako ni wa kwenye makaratasi. Ila ukijua basi utatafutwa na watu sio ww uwatafute.
  11. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Ushauri anaweza kupewa ila unakua ni mtazamo wangu binafsi kutokana na jinsi navyoipenda na muono wangu binafsi. Ila kuna course ambazo zipo marketable ambazo ukisoma lazma upate kazi au hata ukakosa basi kujiajiri ni rahisi kabisa. Kuna IT au Computer Science. Ni technical course hizo ambazo...
  12. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Faculty of Computing, Information System and Mathematics
  13. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Faculty of Acc, Banking and finance
  14. The_dexter

    Kwa waliosoma IFM

    Achague hapo
Back
Top Bottom