Mfano???
Ama ndio ule ule ukiritimba na ushamba kwamba elite yoyote asiyetumia iPhone anakosa vitu vingi sana. Halafu unakuta anayebwatuka hivo matumizi yake ya iPhone na mtu mwenye Huawei hakuna tofauti.
Okky ngoja nikupe mfano,
Kuna programs nyingi wanazohitajji coders au engineers ambazo kwa windows zinakua either ni za kulipia au kwa upande wa windows zinahitaji resources nying sana na hivyo kuwa slow sana ukilinganisha na za kwenye linux
Photoshop, graphics na video(zote ziko free sio za kulipia kama kwa windows)
1)GIMP - hii ni kama adobe photoshop kwa linux lkn iko free na inarun faster zaidi kwenye linux
2)Natron - hii ni ya kuedit videos na ni alternative nzuri kwa adobe after effects coz yenyewe iko free
3)Blender - hii ni kwaajili ya animations, ofcoz kuna windows version yake lkn research zinasema inarun faster zaidi kwenye linux
Engineering, Architecture and 3D design, Electrical
1)OpensCAD - hii ni alternative ya AutoCAD, iko free ofcoz sio kama autocad ambayo ni mpaka ulipie
2)BOSSA - Kuandika codes kwenye Atmel's SAM na ARM microcontrollers(free)
3)Fritzing - Electronic design and automation (free)
4)gEDA PCB - kuandika na kuprint PCB (printed circuit boards) free
5)Caneda - Schematic capture and circuit design
6)CADABRA - Computer algebra system for mathematicians and engineers
7)GNU PSPP - hii ni balaa kwenye analysis of statistical data na iko free, ni alternative ya SPSS
8)gret1 - hii inadeal na issue za econometrics
Na nyngme nyingi sana ambazo kwa windows unalipia pesa nying na bado unapata perfomance mbovu ila kwa linux things are a bit smooth and free
Kwa upande wa coding hapo sitoziandika coz ukitaka kufanya programming kwa language yyt ile, linux ina programs nying za kukusaidia kufanya hicho kitu
HERE IS A REAL KICKER!!!
-->Ulishasikia virus ya Linux????(kama zipo ni chache mnoooo kwa virus moja ya linux utakuta virus 100 za windows)
But all in all sio lazima kutumia Linux coz matumizi ni yako na option ni yako, but pia sio vibaya kufanya kitu kipya na kuachana na mazoea