The_dexter
Member
- Aug 22, 2015
- 67
- 33
Ukisoma hiz course na ukawa unapishana na pesa basi ujue ulikua unakariri, yan hujuzi wako ni wa kwenye makaratasi. Ila ukijua basi utatafutwa na watu sio ww uwatafute.Ushauri anaweza kupewa ila unakua ni mtazamo wangu binafsi kutokana na jinsi navyoipenda na muono wangu binafsi. Ila kuna course ambazo zipo marketable ambazo ukisoma lazma upate kazi au hata ukakosa basi kujiajiri ni rahisi kabisa. Kuna IT au Computer Science. Ni technical course hizo ambazo huwez lala njaa ukizisoma

