Du mzee j k nyerere alikuwa na ule msemo wa "ikulu ni mahali patakatifu" j k wa leo kapafanya mahali pa kujivinjari na mateja, vijana wasio na nidhamu hata ya mavazi, shame on him.
Hayo ni majimbi, kwetu huchemshwa na maji kiasi bila kusahau dawa ya jiko na hufunikwa na jani la mgomba, baada ya dk 15 pakuwa, chai ni muhimu katika mchakato, karibu kwa mesa.
Haya mafisadi kazi yao kubwa ni wizi na uropokaji, sasa waingereza kwa mara nyingine (baada ya vijisenti vya rada) wanatutoa tongotongo juu ya upuuzi wanaotufanyia wadhalimu weusi wenzetu, wanaanza kuropoka bungeni.
kunta na wewe usijidanganye, huo uzalendo na umoja viluwepo zamani, kwa sasa tunaishi navyo kama imani tu, uzalendo gani ktk hali ngumu kama hii, ikitokea kikanuka utalikumbuka hili.
Hii nchi maajabu ni mengi, hao polisi waende magogoni mbona list ipo kwa prsdt ya hao mapapa, badala ya kudili na sources wao wanadili na outcomes, nawaunga mkono mahabusu waliovua nguo arusha kuonyesha ubovv wa mifumo yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.