Makinda: Watu wana midomo iliyochongoka muda wote!

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
Huyu spika makinda mbona anakuwa kama shule hamna
Wabunge wanasimama kutaka kuchangia eti anawazarau
Na kuwaambia wanamidomo iliyochongoka muda wote
Kwa upande wangu binafsi naona spika ndio ana mdomo uliochongoka kuliko watu wote ndani ya bunge
Maana hana staha amekuwa mropokaji tu siku zote na kuibeba serekali waziwazi acha ujinga wako makinda kimebaki kijimwaka tu utoke hapo tumekuchoka.
 
SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,606
1,225
Hivi makinda anashughulikiwa na nani? (kiunyumbani)... tunataka tujue ili tuhusishe na vituko vyake ndani ya bunge
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,406
2,000
Huyu spika makinda mbona anakuwa kama shule hamna
Wabunge wanasimama kutaka kuchangia eti anawazarau
Na kuwaambia wanamidomo iliyochongoka muda wote
Kwa upande wangu binafsi naona spika ndio ana mdomo uliochongoka kuliko watu wote ndani ya bunge
Maana hana staha amekuwa mropokaji tu siku zote na kuibeba serekali waziwazi acha ujinga wako makinda kimebaki kijimwaka tu utoke hapo tumekuchoka.

Huyu mama alitakiwa awe mwanafunzi wa chekechea maana anaongea sana.
 
Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
597
250
Huyu spika makinda mbona anakuwa kama shule hamna
Wabunge wanasimama kutaka kuchangia eti anawazarau
Na kuwaambia wanamidomo iliyochongoka muda wote
Kwa upande wangu binafsi naona spika ndio ana mdomo uliochongoka kuliko watu wote ndani ya bunge
Maana hana staha amekuwa mropokaji tu siku zote na kuibeba serekali waziwazi acha ujinga wako makinda kimebaki kijimwaka tu utoke hapo tumekuchoka.

Mkuu hakuwalenga hao waliosimama kuchangia bali wale wanaofyatuka na kuropoka bila ruhusa. Utakumbuka ilikuwa waziri anaongea kwahyo hawakuridhika ndio wakawa wanaongea kwa sauti!
 
1952

Senior Member
Mar 29, 2014
109
0
Spika wetu kwa kweli kiingereza chake ni zero kabisa. hajui kabisa kujieleza kwa kiingereza. Sijui anapoenda kwenye mabunge ya Jumuiya sijui kama hata anaweza kutoa mada kwa kiingereza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom