Kigogo mwingine CHADEMA ajiunga na CCM leo

Huyu mtela pimbi kweli, yan anataka kusafiria nyota ya msiba wa kamanda wetu, kwanin usitumie msiba wa baba martha mlata?
 
Kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya Uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye Uhai na kupinga unafiki.

Kila aliyejitambua na kuuona ukweli nitamkaribisha ndani ya Chama Cha Mapinduzi, chama pekee cha siasa kuwahi kutokea katika nchi ya Tanzania.

Na Usomi wako woooote umeishia ku-conclude kuwa hilo ulilolinena ni habari njema kwa Watanzania wa sasa?

Kweli kuchumia tumbo ni kubaya maana unageuza geuza mambo kama unavyogeuzwa geuzwa mambo!
 
Kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya Uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye Uhai na kupinga unafiki.

Kila aliyejitambua na kuuona ukweli nitamkaribisha ndani ya Chama Cha Mapinduzi, chama pekee cha siasa kuwahi kutokea katika nchi ya Tanzania.
Kamtafute kwanza baba yako ndio udandie siasa umeachwa kama kile kivalio huna sauti hutambuliwi unakuwa kama nzi pole sana kijana Mama yako anamlisha babayo kwa posho ya udiwani wa CDM kafundishe wanafunzi huko acha kutumika kama taulo la usiku
 
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;

"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"

Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.

Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.

Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.

Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Kweli akili yako ni fupi. Hivi maana ya kigogo unaijua kweli. Vigogo ni Dr Slaa, F Mboye, Lissu, Mnyika, wenje, Mdee, na wengine wengi na sio huyo kinyangarika uliyemtaja.
 
Weka Picha ya tukio hilo Mkuu Mtela Mwampamba, kwani hivi sasa tumewashitukia baada ya kugundua kwamba mnatumiwa na CCM kama Condom ya "Twanga pepeta". Pia upunguze kuchanga viroba na konyagi ndani ya gongo, utaendelea kulewa zaidi.
ni kawaida yenu mkishindwa hoja mnaanza kutoa matusi. Haisaidii kitu watu wameshachoka kuwa misukule, wameamka na kuugundua Ukweli.
 
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;

"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"

Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.

Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.

Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.

Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Kwa hiyo CCM wanaruhusa ya kufanya mikutano Mtwara na Lindi wakati serikali iliipiga marufuku!
 
Kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya Uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye Uhai na kupinga unafiki.

Kila aliyejitambua na kuuona ukweli nitamkaribisha ndani ya Chama Cha Mapinduzi, chama pekee cha siasa kuwahi kutokea katika nchi ya Tanzania.
Vipi mama yako mzazi anachelewaje kuiona hiyo neema?
 
Kweli akili yako ni fupi. Hivi maana ya kigogo unaijua kweli. Vigogo ni Dr Slaa, F Mboye, Lissu, Mnyika, wenje, Mdee, na wengine wengi na sio huyo kinyangarika uliyemtaja.
Hata siku akina wenje wakiamua kurudi CCM mtasema nao sio chochote..,chadema ni mradi wa familia ya watu, nyie wachumia ndumbo endeleeni kujifariji.
 
Ahsante kwa kigogo kutujulisha kuwa ccm ndo kampuni inayolipa, safari njema mamluki sisi mamba tunasonga, mvua imemuumbua kenge tutakutana mwakani.
 
Kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya Uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye Uhai na kupinga unafiki.

Kila aliyejitambua na kuuona ukweli nitamkaribisha ndani ya Chama Cha Mapinduzi, chama pekee cha siasa kuwahi kutokea katika nchi ya Tanzania.
Mtela,
njia ya uzima ni njia gani hiyo wakati wanafunzi wanakaa chini,dawa hospitalini hakuna,escrow account inatafunwa,inlation iko juu,shillingi imeporoka.
 
mkuu achana na huyo msukule kwani hajielewi,Nchi inaibiwa huku yeye akichekacheka kama taahira na kukesha hapa jf akitetea wezi wa raslimali zetu.
 
Vipi mama yako mzazi anachelewaje kuiona hiyo neema?

ni kujishusha hadhi yako kudebate na boya kama hilo mpika chai wa nape, angekuwa anajiheshimu angeomba ajila za walimu zilizotoka apate kipato halali kisichoondoa utu wake.

mtu mama yake ni chadema na anasema chadema ni misukule hivi huoni kama huyu ana laana ya mama yake? wewe unaweza kuthubutu kumuita mama yako mzazi msukule?
 
Kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya Uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye Uhai na kupinga unafiki.

Kila aliyejitambua na kuuona ukweli nitamkaribisha ndani ya Chama Cha Mapinduzi, chama pekee cha siasa kuwahi kutokea katika nchi ya Tanzania.
Nenda kachukue buku 7 zako.
 
Wengine hawana haja ya kujitangaza kuhamia ccm kwani wamelipia kadi zao mpaka mwisho miaka kumi mbele
 
Pukuteni mavumbi chadema ikulu inakaribia, mkikupukuta mavumbi miguuni wasliti(siafu) watadondoka na mtaingia mkiwa wasafi. GOOO GOOOO WASALITI UNGANENI NA WASALITI WA UMMA WA WATANZANIA ILI SAA YA KUWAPULIZIA SUMU VIROBOTO NANYI MSIPONE MKATUSUMBUA. WATAPUKUTIKA WOTE NA HAKITAINGIA KILICHO KINYONGE MADARAKANI 2015.
 
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;

"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"

Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.

Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.

Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.

Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

kwa maneno yako haya jua unamdharirisha mama yako aliekuzaa....
 
Hiki kimwampamba bana eti kinasema "...Oh me nilijtambua mapema..."
sasa kilisubr nini mpaka kikafurumushwa ka mbwa mwizi mpk kikakmbilia uintarahamweni?
 
Back
Top Bottom